Wapigakura wa Muleba, Bukoba (V+M), Missenye, B'mulo, Karagwe, Kyerwa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapigakura wa Muleba, Bukoba (V+M), Missenye, B'mulo, Karagwe, Kyerwa....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maruku Vanilla, Apr 20, 2012.

 1. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mbunge ni mfanyakazi wako. Kodi yako ndiyo ujira wake. Kama unavyomuamuru mjakazi wako, muamuru mbunge wako kutetea afya yako, usilishwe vyakula vibovu wala dawa zilizokwisha muda wake. Muamuru mbunge wako kupata matibabu na elimu bora. Mwambie mbunge wako wewe hupendi wala hulei rushwa na haukubaliani na matumizi mabaya ya mali zetu. Mwandikie sasa na kumtumia ujumbe huu:


  "Mbunge, jina lako lisipoonekana katika karatasi ya Zitto kumshinikiza Pinda ajiuzuru, basi nawe hesabu umepoteza mamlaka ya kuniwakilisha" Mwajiri wako-Mpigakura


  Tahadhari:
  Namba za simu za wabunge wetu “zinapatikana”. Usitumie za kwenye tovuti ya bunge. Hizo zilikuwa za kuingilia mjengoni! Hawataki mawasiliano na wewe wakiisha pata kura yako.


  Wangapi mko tayari? Wakifika wanachama 70 naweka namba-hai za Wabunge wote wa Kagera hapa!
   
 2. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nshomile na usomi wenu bado mko na magamba?
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  ukiondoa majimbo ya karagwe,bkb mjini na biharamulo,majimbo yaliyosalia magamba yanatamba! inasikitisha sana!
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mukulu naomba namba ya Jasson Rweikiza (BK Vijijini)
   
 5. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Bukoba Vijijini, namba za Mbunge-0786101524/0754282583
   
 6. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Namba za Mbunge wako ni 0786101524/0754282585/0713282585
   
 7. Yakuza

  Yakuza Senior Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  Mbunge wa Jimbo la Karagwe: Mhe. Gosbert Blandes: Mobile +255 713239273

  Mbunge wa Kyerwa: Mhe. Yustas Osla Katagira: Mobile. +255 789331255 au +255 754 780650
   
 8. M

  MUGUNDA Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  naomba Namba ya Prof Tibaijuka, huyu tulimchagua tukihis atafanya hata kwa pesa yake lakin cha kushangaza hata nyumba yake imeshindwa kumalizika.
   
 9. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hapana hapana hapana! No. hizo namba kwa sasa ziko mapumziko mpaka 2015 watakapokuja kukabidhi majimbo wakati wao wakidhani wanakuja kupewa tena kura.

  Tumia hizi: Kwa maksudi Majina yao sitayaandika. Nitaandika majimbo wanayoongoza

  Nkenge 0752-131-913
  Biharamulo 0754-626-569
  Kyerwa -0754-780-650
  Viti Maalumu (CCM)- 0784330408
  Muleba Kaskazini – 0767-335-454
   
 10. B

  Bigaraone JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 722
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Chondechonde wabunge wetu wa Mkoa wa Kagera angalia sana maana historia imetuhukumu kwa kwenda upande wa usaliti. Walipokuja wakoloni baadhi ya machifu wetu walishirikiana nao (collaboration) ili kuagamiza himaya za maadui wao yaani machifu wa jirani jirani zao. Hili doa bado lipo katika vitabu vya historia. Wakati wa vita ya Kagera kuna watu walioshirikiana na Idd Amini na wakati kaya za wengine zikipigwa mabomu za kwao zilibaki bila kughuswa. Doa linaloendelea kututafuna ni la mheshimiwa mkurugenzi wa habari ikulu. Wakati wenzie walipewa kazi nzuri kupitia wanamtandandao yeye kapewa kazi ya kupayuka na kusafisha visivyosafishika.

  Sasa na nyie mkitutia doa jingine hakuna sifa tutakayobaki nayo bali kuwa laughters miongoni mwa Watanzania na Dunia. Hata ile sifa ya kuwa na Karidinali wa Kwanza Mwafrika-Hayati Mwadhama Laurelian Rugambwa, Mkuu wa Muungano wa Makanisa ya Kilutheri Duniani-Hayati Joshua Kibira na mwanauchumi aliyetukuka-Hayati Pro.Rweyemamu zitafunikwa na aibu mtakayotutia. Asiyetia sahii kwenye karatasi ya kupeleka motion of no confidence to the PM will be a traitor to the electrorate and come the year 2015 should not show up to request re-election. If one dares to do so will be greeted with booing and I pray not being beaten by rotten eggs.

  Fikiria our staple food bananas has been attacked by severe and unseen organisms of which leaves get dry and stems get rotten with dirty smell. Haya yote yanatokea wakati tunao wabunge waliokaa kimya hawajafanya juhudi kutangza janga la mkoa. Wakati huo huo kuna shirika la kimarekani linatengeza fedha kwa kupuliza dawa ya kuua mbu wa malaria kwenye nyumba za watu wakati malaria kwa kiasi kikubwa na sehemu nyingi za mkoa wa Kagera sio tishio. Watu wanababuka ngozi za miili yao kutokana na dawa hiyo. Sasa pesa inayotumika kwanini isufnaye utafiti wa ugonjwa wa migomba. Najua nitaambiwa ni kwa sababu mfadhili ndivyo anavyotaka. Na mimi nauliza kwanini tunakuwa watumwa wa mfadhili mpaka atupatie nyoka tule badala ya samaki? ENGAMBA BINGI KUMALAHYO ESIMWA BAKE
   
 11. K

  Kibera New Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  " OBUNAKU MPALI ONYATA OINAYO"mnajifanya wasomi mtakuwa watumwa wa magamba mpaka!!
   
 12. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Thank you. Namgongea sasa hivi.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkoa wa Kagera ni "Intellectual cannibal region". Badilikeni.
   
 14. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimeshawagongea faster Katagira na Jimbo langu la ukimbizini Hapa dar.Asante mtoa mada
   
 15. e

  evoddy JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huu ni ukweri usiopingika kuwa Mkoa wa kagera hasa wilaya za Muleba,Bukoba mjini,Bukoba vijiji,Misenyi na Karagwe ni wilaya ambazo kimsingi tumepoteza kwa kiwango kikubwa cha mwamko wa maendeleo kwa sababu ya kuamini viongozi kutoka chama cha MAGAMBA.

  Niwakati sasa kurudisha hadhi ya mkoa wetu kwa kufanaya mabadiliko makubwa ili 2015 tuonyeshe kuwa tunauwezo mkubwa kama ambavyo jamii za maeneo mengine walikuwa wanaamini hapo zamani .

  Vijana wote kutoka hayo maeneo niliyoyataja tuungane kuhakikisha vijana tunachukua majimbo yote,

  Mimi kama mzawa na mzalendo wa Muleba kusini,naamini magamba watang'oka tu .

  M4C Lazima ifanye kazi peeepplles powwweeeeer
  .
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nimetuma message kwa Rweikiza sasa mara ya tatu. Simu yangu inaonyesha delivered lkn jamaa hajibu. Ngoja arudi kijijini kwangu hapati kura hata moja
   
 17. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkuu hata Bukoba Mjini ni Gamba linaitwa naibu waziri mambo ya ndani balozi KAGASHEKI...kote ni magamba matupu mkuu...tu akina nshomile na tunapenda pesa sasa itakuwaje, magamba tangia akina Karamagi walitupatia mipesa tukaona tubaki na magamba tu.
   
 18. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimefurahi kupata hii namba ngoja niifanyie kazi.
   
 19. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namtumia sasa hivi mbunge wangu wa Nkenge. Kwa kweli Wahaya tumelala sana. Usomi wetu unapimwa na nini basi? Kama hatuwezi kutumia usomi ku-rescue maisha ya wananchi inatufaa nini? Usomi wa uwoga huo. Hatujiamini na hivyo hatustahili tena heshima ya usomi. Wasomi kwa sasa wako Arusha, Kigoma, Singida, na kwingineko ambako wameamua kufanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwatosa wabunge wa Chama Cha Magamba. Naomba wahaya tuamke sasa. Matatizo yetu tunayajua na tuyashughulikie sasa kuanzia kwenye uongozi wa kisiasa. Tusisubiri akina Zitto ndo watusemee. ATAKUTWALILEMU TAMANYA OKWO OSIKILILWE.
   
 20. Jaji

  Jaji Senior Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magembe alisema serikali inatarajia kujenga maabara ya kisasa kuchunguza huo ugonjwa bila kutambua hadi maabara ikamilike migomba yote itakuwa imekwisha na watu wakampigia makofi.
   
Loading...