Sakata la upanuzi bandari
Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu
Wabunge wataka ang'oke, nyaraka zaanikwa
Atofautiana na Naibu na katibu Mkuu wake
Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk...
Wana bodi habari!
Katika watu waliokuwa wanasema ni watetezi wa rasilimali zetu hapa nchi,ni huyu mbunge.Nimeshangazwa na kutokuliona jina lake kwenye ile list ya waheshimiwa wabunge waliotia...
Napenda kujua CHADEMA mnajiandaa vipi kuongoza nchi ifikapo 2015, sina shaka mtapata nafasi hiyo, cause msipojiandaa sasa nadhani itakua ghafla alafu mtachemka.
Mara nyingi viongozi dhaifu huwa na sifa hizi hapa;
1.Hesitating to take definitive action/they never make couragous decision for fear of falling.
2.Blind to the current situation,they solve the...
Dear JF members, ongoing circumstances in Tanzania provide a guarantee for mass revolution and the world will understand it just as they recognised a situation of Egypt, Tunisia and Libya. It's a...
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza...
Nimeshangga sana kugundua kuwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Safi na Maji taka Moshi ,Bwana Antonny Kasonta ambaye miaka minne iliopita alilalanikiwa na Mh. Halima Mdee kuwa ni mbadhirifu na...
Kuna kigogo anayehusika na kuyumbisha nchi, hawa ni matawi tu. Sitegemei katika familia mtoto afanye kitu kinyume cha matakwa ya mkuu wa kaya. Yaliyompata Edward Lowasa ndiyo yanayowapata hawa...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo,na jinsi mwelekeo na mwamko wa uelewa wa wananchi juu ya Haki yao ktk Taifa hili,
Picha hizi zinatueleza hivi..
Wabunge wa CCM wako bize kufikiri ni kwa kiasi gani...
Huu ni ujumbe wangu kwa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Ubungo, Hawa Ng'humbi.
Kwanza nikupe pole kwa kushindwa vibaya katika uchaguzi huo na pia nikupe pole nyingine kwa kushindwa kuuona...
Habari wana JF!
Inatia uchungu sana kuona na kusoma humu jamvini eti rais wetu anasema kujizulu kwa mawaziri kwa ubadhirifu ni upepo tu,utapita.Hana uchungu na nchi hii?
Aliapa kutetea katiba ya...
Pamoja na kelele za wananchi na viongozi mbalimbali wa kidini na wasomi katika nchi hii lakini naona suala la kuwajibika kwa kujiuzulu ni ndoto ambayo haiwezi kutokea. Viongozi wengi ambao hata...
Muda Mfupi uliopita Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Waandihi wa Habari wa Vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa Taarifa kamili kuhusu Mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru...
Kutoka Dodoma Hotel chanzo changu cha habari kina nijuza kuwa waziri wa usafirishaji ameitisha press conference sijui anataka kuwaambia nini watanzania...
tegeni sikio nitawajuza...
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO unadhani tulipata uhuru mwaka 1961 !!?? mkataba wa uhurukatiya serekali ya wakoloni uingereza na wapigania uhuru wa tanganyika uliandikwaje?? mkataba huu upo wapi...
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba...
Wadau,
Kufuatia sakata la hivi karibuni la utendaji usioridhisha wa wizara mbalimbali au in short serikali kujadiliwa bungeni ni mawazo yafuatayo kuhusu taasisi ya bunge, kwamba isipokuwa makini...