Mungi ibariki Tanzani hawa magamba wabaki Historia yanatosha mateso na dharau kwa Miaka Hamsini
Mh. Shardcore, naomba uniruhusu nitumie maneno uliyoandika ili kudeliver general message, NINAWAOMBA WOTE chonde chonde,tusitumie lugha/misamiati ya "kidini" katika siasa - wewe na mimi tunafahamu kuwa wapo wengi wanaoituhumu(wrongly!!!) CHADEMA kuwa na ushirikiano wa karibu na dini fulani - therefore please please let's not provide them with a golden alibi. Ninaamini sitakuwa nimekuudhi maana si nia yangu na ninaamini pia utakuwa umeelewa ninamaanisha nini.Dr.slaa na prophet lema wameonesha njia.
Solidarity forever..\/
Hakuna cha maamuzi magumu kwa hawa vipofu.. kama mkuu mwenyewe anaogopa kukubali mawaziri kujiuzulu unatarajia nini zaisi ya porojo? Kwakifupi sasa wataelekeza mashambulizi kwa CAG ili asifichue uozo wao na ndipo kiama chao kitakapokuwa kimetimia.Serikali itakuwa inahaha sana maana huu moto hauzimiki!!Tena Jumatatu wakishindwa kufanya maamuzi magumu,basi watakuwa wameisafishia CDM njia!
Umenichekesha sana mkuu.
.Mungi ibariki Tanzani hawa magamba wabaki Historia yanatosha mateso na dharau kwa Miaka Hamsini
Mungi ibariki Tanzani hawa magamba wabaki Historia yanatosha mateso na dharau kwa Miaka Hamsini
Mbaraka Mohamed, unataka Mungi wa hapa JF aibariki Tanzani? Huo uwezo ameupata wapi? Mungi tafadhali njoo ujieleze kama na wewe umeanza kuwa TB Joshua.
Taarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm.
Kweli magamba hawana chao mwaka huu!
Mh. Shardcore, naomba uniruhusu nitumie maneno uliyoandika ili kudeliver general message, NINAWAOMBA WOTE chonde chonde,tusitumie lugha/misamiati ya "kidini" katika siasa - wewe na mimi tunafahamu kuwa wapo wengi wanaoituhumu(wrongly!!!) CHADEMA kuwa na ushirikiano wa karibu na dini fulani - there please please let's not provide them with a golden alibi. Ninaamini sitakuwa nimekuudhi maana si nia yangu na ninaamini pia utakuwa umeelewa ninamaanisha nini.