Wapi Hamis Kigwangala (Mbunge)?

mchambakwao

Member
Dec 9, 2011
77
14
Wana bodi habari!
Katika watu waliokuwa wanasema ni watetezi wa rasilimali zetu hapa nchi,ni huyu mbunge.Nimeshangazwa na kutokuliona jina lake kwenye ile list ya waheshimiwa wabunge waliotia sahihi kutokuwa na imani na premiere waziri.
Nauliza wapi huyu mheshimiwa kwenye hili?

Si huyu tu kuna yule mbunge wa Nzega naye nimejaribu kumfuatilia alikuwa na katabia kama cha Mh.Kigwangala,lakini naye simuoni kwenye list,ni nguvu ya soda na unafiki?
 
Dr. Kigwangala a.k.a. Saidi Bagaile anasubiri post kwa hamu, anataka Mponda au Nkya wakipigwa chini yeye apewe angalau mojawapo!
 
He! kumbe ni Saidi Bagaile basi ndo maana hajasaini,maana angemwaga wino kwenye ile list wasingemwacha.Maana angeambia sio raia,sio jina lake halisi na n.k
 
Mnafiki mkubwa huyo, hana tofauti na January Makamba, Sitta, Kilango, Mwakyembe...
 
mchumia tumbo huyo!!mbona wamo wengi lakini walivyo wanafiki wakati wanaongea mpaka povu linawatoka utadhani kweli wanauchungu!!
 
Dr. Kigwangala a.k.a. Saidi Bagaile anasubiri post kwa hamu, anataka Mponda au Nkya wakipigwa chini yeye apewe angalau mojawapo!

Njaa tu, elimu ya kupoka, ubunge wa kupoka unategemea nini kama jina pia la kupoka... unataka aharibu....hao ni wachumia tumbo tu... dawa yao ipo....

Saidi Bagaile!!!:A S angry:
 
Back
Top Bottom