Angalizo: Taasis ya Bunge iwe makini!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo: Taasis ya Bunge iwe makini!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Apr 22, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wadau,

  Kufuatia sakata la hivi karibuni la utendaji usioridhisha wa wizara mbalimbali au in short serikali kujadiliwa bungeni ni mawazo yafuatayo kuhusu taasisi ya bunge, kwamba isipokuwa makini itatuletea matatizo yasiyo ya lazima.

  1. Hoja za Serikali kwa Bunge:
  Ni utaratibu uliozoeleka au labda uko kwenye kanuni kwamba hoja za serikali huwa zina-be-shared na kamati ya kudumu husika na hata mawaziri vivuli ili kuwapa muda kuchangia ile hoja kabla ya kuletwa live kwenye bunge pale mjengoni, utaratibu huu umefanya mijadala iwe iko-aligned na kuwa productive,,, na kawaida, msemaji wa Kamati na msemaji wa kambi ya upinzani wanakuwa wa kwanza kujadili na hii inafanya kuona yapi haya-be-covered wabunge wengine wachangia, in short ni kama muongozo mzuri wa mijadala.

  2. Tatizo: Hoja za Wabunge kwa Serikali
  Mimi naamini mfumo kama huo hapo juu ungetumiwa na bunge letu kwenye hoja za Wabunge kwa serikali pia ungeleta tija sana.... kwa maana serikali nayo ipewe muda kuzijibu na pale iletwapo bunge, baada ya mbunge mtoa hoja kutoa hoja yake... immediate, serikali nayo ipewe muda wa kutosha (dakika zakutosha) kujibu hoja nzito mapema zaidi kabla ya wabunge wote kujadili... kwa sababu wanapoachiwa wengi wajadili wakati already kuna mambo yameshafanyia kazi sio kwamba mjadili una-bring emotional unnecessary lakini haiwi na tija kwa sababu pia unapoteza muda.

  3. Hoja za CAG
  Wakati wote wa kujadili hizo hoja ni muhimu watu kujua kwamba hizo ni QUERIES zilizo-be-raised a year old... hivyo before any discussion ni muhimu wizara husika zilete updated response... before tabling to the parliament session... hii italeta tija zaidi.. kuliko kujadili wakati mwingine queries ambazo zina majibu muda mrefu uliopita.

  Mawazo yangu tu. Naamini hili liko ndani ya taasisi ya bunge na sio serikali.
   
Loading...