Mkurugenzi wa Maji mwenye Kesi ya Wizi na Ubadhirifu Anaendelea na Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa Maji mwenye Kesi ya Wizi na Ubadhirifu Anaendelea na Kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fisadi Mtoto, Apr 22, 2012.

 1. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeshangga sana kugundua kuwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Safi na Maji taka Moshi ,Bwana Antonny Kasonta ambaye miaka minne iliopita alilalanikiwa na Mh. Halima Mdee kuwa ni mbadhirifu na mwizi aliepelekea mpaka ofisi ya MUWSA kukopa hela za mshahara baada ya kufuja mapato anaendelea na kazi. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa amefunguliwa kesi kwa makosa ya uhujumu uchumi na kesi ya pili ki kwa kosa la ubadhirifu na wizi na kosa la tatu kwa kumfukuza kazi mzalendo aliemripoti Takukuru na kwa viongozi wa Chadema.mwaka jana katika Bunge Mh Halima Mdee aliuliza kwa nini akiwa anakabiliwa na kesi zote hizo tatu bado anaendelea na kazi na jibu la serikali kupitia kwa Mwandosya ni kuwa hata kama kashtakiwa kwa wizi lakini mamlaka yake ya uteuzi hailazimishwi kumsimamisha kazi kungoja majibu ya kesi yake...hapa si ajabu hata hawa mawaziri wote pia wakabaki.........Ni nchi ya ajabu kidogo ambako serikali inashindana na vyombo vyake yenyewe kutetea watuhumiwa.
   
 2. K

  Kanda ya Ziwa Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wewe una shangaa ya mkurugenzi wa moshi? Mbona yule wa mwanza alipofanya wizi mkubwa na kesi yake kupelekwa polisi aliteuliwa chapu chapu kuwa kibosile wa wizara ya maji!!! mimi nadhani sirikali hii ni ya kuondoa tu yote!! Kwani hata wizara ya maji mambo ni kama ya mkuchika tu wizi ni kama kunywa chai ya kila siku. Viva Zitto ila ingiza waziri wa maji kwenye orodha ya kung'ólewa. MUNGU IBARIKI TZ MUNGU WABARIKI WATETEZI WETU.
   
 3. K

  Kanda ya Ziwa Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  HE HE HE SI yule RWETABULA ?
  Tena nim kihiyo kweli kweli!!!
   
 4. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Ha ha si ni DR yule jamaa we unasema ni mkihiyo kwani aliiipatia wapi hiyo PHD yake duh
   
 5. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mamilioni ya fedha yameliwa kwenye miradi ya mnaji na Mwandosya hata hajulikani anafanya nini
   
 6. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Mwandosya ni mgonjwa hoi....sidhani hata kama anajua nini kinaendelea, muda mwingi alikuwa India akiugua.
   
Loading...