Haina Ubishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haina Ubishi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kula kwa tindo, Apr 22, 2012.

 1. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa hali ya kisiasa ilivyo,na jinsi mwelekeo na mwamko wa uelewa wa wananchi juu ya Haki yao ktk Taifa hili,
  Picha hizi zinatueleza hivi..

  Wabunge wa CCM wako bize kufikiri ni kwa kiasi gani wataendelea kuupumbaza umma wa Watanganyika kwa maovu yanayo fichka dhidi yao..

  Wabunge wa CHADEMA wako bize kuumiza vichwa ni kwa kiasi gani na njia zipi zitaleta ukombozi wa Mtanganyika toka ktk serikali kandamizi, kwa kuishi maisha bora ya kujitegemea kwa kuzitumia na kusimamia raslimali zetu pasi na Misaa
  KANDAMIZI...
  Hakuna kisichowezekana..
  Ukombozi wa Taifa hili unaanza na MIMI then wewe NIUNGE MKONO...

  TOGETHER WE CAN.....
   

  Attached Files:

 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huna Jipya,kaa kimya.
   
 3. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  I like this. Hata hivyo kazi inahtajika ifanyike, hususan vijijini.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Chadema ni makamanda!
   
 5. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzee Ally H. Mwinyi alisema.. "Ikiwa mnasafiri kwenye Ngalawa na mmoja katiyenu akatoboa Ngalawa na maji kuingia,Dawa ni kumtosa majini ili chombo kiczame.. "
   
Loading...