Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CANCER, Apr 21, 2012.

 1. C

  CANCER Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Umetumia kigezo gani kuwapa sifa ya UZALENDO!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wote hawafai
   
 4. l

  liverpool2012 Senior Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sita hawezi pewa,magufuli nyumba zetu ameuza.
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Unamkumbuka"SUNDI MALOMO"wewe?yule demu wake MAGUFURI.
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Sure mkuu,nijaribu kumkumbusha jamaa mambo ya Magufuri alipomuhonga demu wake nyumba ya serikali kwa kigezo eti kainunua.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Koote anafaa lakini linapofika suala la Nyumba na Sundi nyongo inatibuka!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Magufuri hafai hata kidogo
   
 9. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Hadi sasa sijaona anaeweka kuwa waziri mkuu huko CCM. Labda watengue kanuni achaguliwe toka upinzani hasa chadema, huko wapo wa kumwanga.
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hii inaonyesha ni kiasi gani magamba yalivyoota ukurutu!
  Yani yote ni full uchafu mkuu.
  Walahi uchaguzi mkuu ujao hali itakua tete sana.Sipati picha huyo atakayesimamishwa na "sisi hemu"ataanzaje kuomba kura?
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu siyo kanuni ni Katiba ya JMT ambayo inataka PM atokane na chama chenye wengi.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280

  ...Kabisa FL1 huyu naye ni fisadi tu kwa kushiriki katika kukwapua nyumba za Serikali na kuuziana kwa bei ya kutupa, halafu hata siku moja sijawahi kumsikia akisema chochote kuhusiana na ufisadi mkubwa unaoendelea nchini. Huwa nawashangaa sana wale wanaompigia debe eti anafaa kuchukua nchi 2015.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mzee wa mvi za busara, Edward Lowassa ndio anafaa peke yake.
   
 14. M

  Mantuntunu Senior Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I don't think Sitta will do but Magufuli no doubt he can
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Huyu nae washamuaribia kwa wa tz!
  Ofcourse washamchafua sana so sidhani kwanza kama anaweza kula matapishi yake.


  .
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kumbukeni na kauli za magufuri za kibabe,vipi kiongozi wa nchi unaweza waambia wananchi wako wasio na uwezo for 300tsh wapige mbizi?
  That's why mkuu wa kaya ya Temeke alimwita wa kuja!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  magu hana point hata 1 ya kuwa PM,RIZON anamudu wizara na HAWEZ u-pm
  SITA ATALIPIZA VISAS!
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,308
  Trophy Points: 280
  Sita ni fisadi wa kichinichini ambao ni ufisadi mbaya kuliko ufisadi wa kiwazi wazi. He is too emotional anaweza kuwa ni mtu wa visasi. Pia Sita ni mropokaji mzuri!. Magufuli ni mbinafsi sana, ameweka mbele sana u-mimi na ni mtu wa masifa, full kujikomba kwa JK ila ana risk ya kuwa dictator!. Waziri mkuu bora ni mmoja tuu!. The One and Only..,!, malizia mwenyewe!.
   
 19. darison andrew

  darison andrew Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  in genuine we need to think afresh all of them non is good in case sita let us ask how did he end richmond?magufuli ask about strabag company which is with down payment of 2.7bilion per month without working constracting the road from kahama-rusahunga-rusumo and other issues?
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hakuna mwana ccm anayefaa hata kidogo! You might think he can but the problem is Magufuli! The system is the matter! Kila kitu kinaendeshwa kwa personal interest za baadhi ya watu na sio za wananchi!
   
Loading...