PINDA - Nitatoa Maamuzi yote Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PINDA - Nitatoa Maamuzi yote Jumatatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Apr 21, 2012.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Muda Mfupi uliopita Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Waandihi wa Habari wa Vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa Taarifa kamili kuhusu Mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru atazitoa rasmi Jumatatu atakapokuwa akiahirisha kikao cha Bunge.

  Maswali ni mengi kwa kila nayeisikia kauli hii:

  1. Nini kimejitokeza hapa
  2. Kuna aliyezuia maamuzi haya yasipate baraka?
  3. PM kashikwa na kigugumizi gani?
  4. Mbona kila jambo katika kiako cha jana yalishafahamika mpaka maazimio?
  5. Kikao cha leo kilikuwa na Agenda gani?
  6. Ni kweli anasubiri baraka za Rais?
  7. Ilikuwa sanaa?
  8. Au ni mchezo gani unataka kufanyika hapa?
  9. Kwanini Spika kaahirisha Bunge bila kuusoma Muongozo uliohusu ufafanuzi wa Serikali juu ya suala hili?
  10. Kwanini wameiacha nchi katika sintofahamu kiasi hiki?

  Ahadi yake ni Jumatatu

  Tunaendelea kusubiri


  ADIOS


   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapa wanangoja nini badala ya kutoa maamuzi?
  Huyu jamaa hana meno wacha wamtoe tu kazidi ukilaza
   
 3. M

  Marco christopher Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mafisadi hao utawafanyaje?nchi imeingia kwenye tope zito,wanasubiri karandinga la nguvu ya umma kuitoa.wizi mtupu
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yale yale !
  Usitegemee jipya mkuu
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Cabinet Reshuffle
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  GR usiwe unapotea kiivyo mkuu!!
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,891
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ulitegemea Pinda huyu atoe maamuzi yoyote? Pinda kwa kawaida huwa ni speaker ya JK. Hivyo anasubiri JK azungumze kupitia mdomoni mwake hiyo Jumatatu.
   
 8. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,292
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Lowassa yupo Tunduma now anachangisha fedha kwa ajili ya kanisa la Assemblies of God
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,485
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  sanaa@kaole...:A S angry:
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,831
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  spin doctor
   
 11. e

  evoddy JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  JK kaumbuka maana anamsubili Rose Migiro,waziri mkuu wa Tanzania hana meno ndiyo maana JK alimpa anjua hana maamuzi yeye ni mwoga
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wimbo ule ule... nyani wale wale... shamba la bibi litaangamizwa
   
 13. J

  John W. Mlacha Verified User

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  huyu naye sijui anahangaiaka nini
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,951
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  mkweree anarudi lini?
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,951
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  anataka kufa akiwa mtakatifu.
   
 16. B

  Bugomba JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 282
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Lowasa alishasema serikali ya ccm ni legelege haiwezi kufanya maamuzi magumu anachosubiri mpaka jumatatu ni nini wakati kila kitu kiko wazi
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Mafisadi wana nguvu---Pinda
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hii nchi ndio maana iko nyuma siku zote.kufanya maamuzi ni swala gumu sana.
  anyways!!waamue wasiamue kwa upande wa wananchi washaamua!
   
 19. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,292
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Anatembea na mialiko mkobani. Anataka kuwa kama chadema ambao wana mungu, lakini yeye anaongeza pesa juu
   
 20. d

  dotto JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hata kama mimi ningekuwa Pinda ningeacha bora liende. Dharau za Kikwete ziko juu sana. Siamini mpaka leo kama rais anapenda kufanya kazi na Pinda.
   
Loading...