Vote now: Re in state Colonial Rule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vote now: Re in state Colonial Rule

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simplemind, Apr 22, 2012.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Kwa wanaopenda kurejeshwa utawala wa mkoloni sema NDIO, wasiopenda waseme HAPANA. Those for say AYE those against say NAY.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mbona hakuna kitufe cha NDIYO na HAPANA
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Shule yako, umri, mazingira yako, jamii unayoishi nayo haijakusaidia wala kukukomboa KIFIKRA. Unahitaji msaada mkubwa sana wa kukombolewa kifikra ili uweze kutambua nini maana ya ukoloni na uhuru. Pole sana lkn unahitaji msaada mkubwa sana kuliko unavyodhania.

  NB: Pia kuna kitu kila siku naanza kuamini kuhusu uhusiano uliopo kati ya majina ya watu na mambo yao. Ukitazama jina lako na kitu ulichoandika, hakika vina uhusiano wa karibu sana. Nilipokuwa mdogo, marehemu baba yangu aliniambia kwamba kamwe usikubali au kuitwa majina ya kipuuzi (yaani majina ambayo yana matokeo hasi) kwani mwisho wa siku ndivyo utakavyofanana (wewe na jina lako mtaendana). Na hii kitu nimeiona hapa JF, kwani mtu mwenye majina ya kishoga utaona michango yake ni ya kishoga shoga, mwenye jina lenye mwelekeo wa uwezo mdogo wa kung'amua mambo naye utaona michango yake hivyo hivyo, n.k
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Ebo! Acha u*s*e*n*g*e. Give me reasons to be proud of self rule given grinding poverty level for majority of Tanzanians. Securing a single meal is an uphill task , Was independence about internalizing poverty and all failures bedevilling this country. Bure Kabisa.
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  id yako inasanifu jina lako
   
Loading...