Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara nyingi viongozi dhaifu huwa na sifa hizi hapa; 1.Hesitating to take definitive action/they never make couragous decision for fear of falling. 2.Blind to the current situation,they solve the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm. Kweli magamba hawana chao mwaka huu!
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Dear JF members, ongoing circumstances in Tanzania provide a guarantee for mass revolution and the world will understand it just as they recognised a situation of Egypt, Tunisia and Libya. It's a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Nimeshangga sana kugundua kuwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Safi na Maji taka Moshi ,Bwana Antonny Kasonta ambaye miaka minne iliopita alilalanikiwa na Mh. Halima Mdee kuwa ni mbadhirifu na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wanaopenda kurejeshwa utawala wa mkoloni sema NDIO, wasiopenda waseme HAPANA. Those for say AYE those against say NAY.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kigogo anayehusika na kuyumbisha nchi, hawa ni matawi tu. Sitegemei katika familia mtoto afanye kitu kinyume cha matakwa ya mkuu wa kaya. Yaliyompata Edward Lowasa ndiyo yanayowapata hawa...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa hali ya kisiasa ilivyo,na jinsi mwelekeo na mwamko wa uelewa wa wananchi juu ya Haki yao ktk Taifa hili, Picha hizi zinatueleza hivi.. Wabunge wa CCM wako bize kufikiri ni kwa kiasi gani...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ni ujumbe wangu kwa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Ubungo, Hawa Ng'humbi. Kwanza nikupe pole kwa kushindwa vibaya katika uchaguzi huo na pia nikupe pole nyingine kwa kushindwa kuuona...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF! Inatia uchungu sana kuona na kusoma humu jamvini eti rais wetu anasema kujizulu kwa mawaziri kwa ubadhirifu ni upepo tu,utapita.Hana uchungu na nchi hii? Aliapa kutetea katiba ya...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Pamoja na kelele za wananchi na viongozi mbalimbali wa kidini na wasomi katika nchi hii lakini naona suala la kuwajibika kwa kujiuzulu ni ndoto ambayo haiwezi kutokea. Viongozi wengi ambao hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda Mfupi uliopita Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Waandihi wa Habari wa Vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa Taarifa kamili kuhusu Mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru...
9 Reactions
118 Replies
13K Views
  • Closed
Kutoka Dodoma Hotel chanzo changu cha habari kina nijuza kuwa waziri wa usafirishaji ameitisha press conference sijui anataka kuwaambia nini watanzania... tegeni sikio nitawajuza...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO unadhani tulipata uhuru mwaka 1961 !!?? mkataba wa uhurukatiya serekali ya wakoloni uingereza na wapigania uhuru wa tanganyika uliandikwaje?? mkataba huu upo wapi...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
T
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Kufuatia sakata la hivi karibuni la utendaji usioridhisha wa wizara mbalimbali au in short serikali kujadiliwa bungeni ni mawazo yafuatayo kuhusu taasisi ya bunge, kwamba isipokuwa makini...
1 Reactions
0 Replies
778 Views
Investigators suspect the money was meant for buying diamonds, as one of the suspects was found to have diamonds from Tanzania at his home in Italy Tanzania security agencies are investigating...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Inatosha: Ubadhilifu Fedha za Walipa Kodi Ukomeshwe! Sikika imesikitishwa na kushtushwa na ripoti ya iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) iliyoibua matumizi mabaya...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Katika mwaka 1968 Hakimu Seaton, Hakimu wa Mahakama Kuu; alitembelea gereza la Mwanza. Nilimuuliza kama kuna uhalali wowote juu ya kuwekwa kwetu kizuizini. Mkuu wa gereza akamwambia Hakimu kuwa...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Back
Top Bottom