Viongozi wa kisiasa kutowajibika wako juu ya sheria?

Aug 10, 2011
81
9
Pamoja na kelele za wananchi na viongozi mbalimbali wa kidini na wasomi katika nchi hii lakini naona suala la kuwajibika kwa kujiuzulu ni ndoto ambayo haiwezi kutokea. Viongozi wengi ambao hata inapobainika uwezo wao wa kuongoza uko chini au wanaposhindwa kutimiza matarajio ya wananchi lakini kuachia ngazi hawataki kwanini? hata wanaposababisha madhara makubwa ya vifoo,kuliingizia taifa hasara ya mamilioni lakini bado wapo wanapeta tu...maana yake nini wako juu ya sheria au hakuna wa kumunyoshea mwenzake kidole kwani wote wanapwaya!!?
 
Back
Top Bottom