Nundu kutangaza kujiuzuru kwake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nundu kutangaza kujiuzuru kwake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 22, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kutoka Dodoma Hotel chanzo changu cha habari kina nijuza kuwa waziri wa usafirishaji ameitisha press conference sijui anataka kuwaambia nini watanzania...
  tegeni sikio nitawajuza kitakachoendelea....
  =======================
  Updates
  Anasema bado anatafakari kuhusu hatma ya uwaziri lakini ame claim kuwa innocent. kamtuhumu naibu waziri wake na kamati miundombinu kuwa ilikula rushwa issue ya bandari.....
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  waiting....
  Press Conference saa ngapi (nahisi atakuwa anajibu tuhumu na kuelezea kwamba anasingiziwa na hajatenda kosa lolote)
   
 3. m

  mgolibene Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunasubiria mkuu
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Tumeshasubiri mengi tu
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Waruke wageuke watatudanganya saaana na kutuibia sanaaa lakini siku itafika Bwana wa majeshi atawastaafisha na wataondoka na sanda kwende kujibu mbele yake.
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tupe habari Kiongozi najua huwa haubahatishi.
   
 7. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  hakuna wa kujiuzulu! Vasco amerudi toka safarini na kuwakingia kifua, kifuatacho ni nkumuondoa yeye!!
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Muda huu....
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Naona umeamua kuendelea kuziheshimu tetesi kwa 50%......

  ..............loading...............
  Leta mambo mkuu!
   
 10. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nahisi atakuwa anajibu tuhuma alizoshindwa kujitetea jana bungeni. Alionekana anakubaliana na uamuzi wa kufanya feasibility study na chombo kingine. Ni suala la muda tu, tutajua.
   
 11. X

  Xavery Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri kwa hamu kusikia hicho anachotaka kusema, but everyone can predict:target:
   
 12. dallazz

  dallazz Senior Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  anataka kukana shutma dhidi yake
   
 13. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Nundu tayari kaandika barua ya kujiuzuru lkn nasikia JK kasema no! Hivyohivyo kwa Mponda na Chami.
  Mh! Ukweli ni huo.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  buzzzzz!
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  'mishkaki ya Nundu tamu sana nikiipata for lunch itakuwa safi sana'
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tehe labda anataka kusema CAG muongo
   
 17. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Arusha Mambo wako wapi waturushie live?
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Loading . . . . . . . . ! Network failure
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Mbona askari wetu hawajafika dodoma kuuwa haya majambazi kama yale yalioripotiwa kuuwa dar na kigoma?
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  isije ikawa chanzo chako ni mpishi? atakupotezea credibility yako jf
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...