Tusiangalie tu ktk ufujaji wa fedha, jeshi la polisi limekuwa likiongoza ktk kuvunja haki za raia ikiwemo HAKI YA KUISHI na KUKUSANYIKA.
Kwanini Nahodha asijiuzulu pia? Jk hufuata upepo kama...
- Mawaziri/Naibu/Makatibu wakuu wa wanauza majumba na viwanja kwa faida zao.
- Wanaajiri waoto wao wenye elimu ya F.IV na kulipwa mishahara ya Degree
- Familia ya Karume yajichukulia majumba na...
Sasa tumepata yote kwa ujumla wake yalioyo moyoni kwa JK kuhusu hatma ya Tanzania.
Wakati umefika tupate Jemadari wa kuikomboa nchi hii kutoka kwa mafisadi!
Mafisadi wanaokingiwa kifua na...
Hili la kuwaambia mawaziri 'huu ni upepo unaopita' ivyo wasing'atuke na baadaye kurugenzi kusema rais kikwete hajasema inanipa shida kuamini kanusho lenyewe kwani si mara ya kwanza.KUMBUKA JAIRO...
Nakumbuka, mara baada ya kuapishwa baraza la mawaziri katika viwanja vya ikulu, Rais Kikwete aliwaasa mawaziri wake akisema "...mkizembea, ipo siku tutakabidhi nchi kwa wapinzani". Ni dhahiri...
Majibu nimeya pata kuwa kwa nini watu katika kipindi hichi cha Jakaya watu hela imepotea mifukoni lakini sasa majibu yako dhahili, pesa ziko mfukoni kwa mawaziri wetu na watendaji wengine mafisadi...
Ninachoshindwa kuelewa ni maelezo ya shekhe mataka kwani zaidiya silimia 50% ya maelezo yake ni kuingiza suala la mahakama ya kadhi ndani ya katiba. Kwa kuonyesha kuwa hawakujiandaa na majibu ya...
Kwa kweli naona kama Mh. Pinda umewekwa kwenye wakati mgumu katika position yako ya PM. Kwani kama ni kweli rais anasema 'ni upepo tu utapita' kweli ana uchungu na nchi hii? Kama waliompigia kura...
Mh. Dr.Mary Nagu leo akiongea na wananchi wa jimbo lake huko Hanang amesema ana amini 100% chini ya Kikwete Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977. source ITV habari
SIJUI HUYU MAMA...
NI dhana rahisi sanai!kansa ya mguu tiba yake ni kukata mguu, kansa ya titi ni tiba yake ni kukata titi, vivyo hivyo kwa kansa zingine!shughuli inakuja ikiwa mtu ana kansa ya kichwa!Tiba yake ni...
Kwa vile CUF na TLP wamesaini kumwondoa waziri mkuu, nashauri viongozi wa vyama vyote vilivyosaini wafanye mikutano kwenye jukwaa moja wazunguke nchi nzima kuwaeleza wananchi sababu za hoja ya...
Kamanda Godbless Lema akiwa kwenye mikutano na uzinduzi wa matawi, Ndipo mwenyekiti wa Vijana CCM kata ya Kisesa Ndg Robert Mwanngwa akafanya maamzi sahihi ya kuhamia chadema.
GreatThinkers,
Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu?
Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe.
Hakika...
GreatThinkers,
Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu?
Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe.
Hakika...
Ndugu zangu,
Nimepata kusimulia haya. Kuwa Mwalimu Nyerere alipong'atuka alipata kumwelezea rafiki yake Rashid Kawawa. Alitamka; " Huyu Rashid huyu sidhani kama kuna mtu mwingine...
Ninachokiamini kulingana na utetezi wa Waziri Omary Nundu serikali ya ccm wote ni wezi na kilichopo ni kuzungukana na kula kwa nyuma.
Hii ndo inapelekea kwa mtizamo wa JK na Pinda walio kuwa...
Majibu nimeya pata kuwa kwa nini watu katika kipindi hichi cha Jakaya watu hela imepotea mifukoni lakini sasa majibu yako dhahili, pesa ziko mfukoni kwa mawaziri wetu na watendaji wengine mafisadi...
Kwa nini JK huwa anaongea na wazee wa CCM kwa masuala ya Taifa badala ya kuongea na wananchi wote? Na hao wazee wa CCM huwa anaongea nao au huwa anaongea kama yupo kwenye TV?