Waziri mambo ya ndani mbona hatajwi orodha ya kujiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mambo ya ndani mbona hatajwi orodha ya kujiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bagram Army, Apr 22, 2012.

 1. B

  Bagram Army Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiangalie tu ktk ufujaji wa fedha, jeshi la polisi limekuwa likiongoza ktk kuvunja haki za raia ikiwemo HAKI YA KUISHI na KUKUSANYIKA.
  Kwanini Nahodha asijiuzulu pia? Jk hufuata upepo kama wananchi hawamtaji huyu nae ataacha apite hivyo hivyo...
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata huyo akitajwa itasaidia nini? Hivi katika hii kebinet ya Kikwete ni waziri gani anayefaa?
   
 3. B

  Bagram Army Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa jk bila kushinikizwa hachukui hatua na akishinikizwa huchukua hatua nusu nusu basi tumtake afukuze mawaziri wote.
   
 4. B

  Bagram Army Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa jk huchukua hatua kwa shinikizo basi tumshinikize awafukuze mawaziri wote.
   
 5. z

  ziwapohazipo Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wapo marais wanashindikizwa na wakafata na sio kikwete huyu ni rais anajua nn anachokifanya ni kweli wizi umizidi maisha magumu uwajibikaji haupo na rais anajua mtu wa mwanzo kupelekewa repot ya CAG ni rais na aliisoma na maamuzi ameshafanya bado kuyaweka hadharani tu kawaida ya rais wetu hama mshirika kwenye baadhi ya maamuzi baada ya mda mchache watanzania watamuelewa nn kikwete serikali haishuritishi inajiamini na kiogozi bora ni yule anayejiamini kuna mgomo mkubwa na mashariti makubwa yaliyowahi kutolewa zaidi ya mashariti ya madaktari wako wapi sasa nani kajiuzulu mabadiliko yatafanya lkn sie kwa matakwa ya wabunge bali ni matakwa ya rais kwani yy ndie aliyewachagua watanzania tusome libya na misri chokochoko zitatupeleka babaya zipo njia za amani na busara za kufikia suluhisho na sio shurti hakuna anaependelea wizi rushwa na utowabijikaji kwani haya yote ndio chazo na msingi wa umaskini mwenye macho haambiwi tazama na wameshaona hongera wabunge wetu wa backbenchers huu ni ushidi wenu shikamaneni hakika mtashida na mmeshashida
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  JK hajawahi kuchukua hatua yoyote. Iwe nzima au nusu. Yeye ndiye awe wa kwanza kuondoka.
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamaa ameegesha tu pale......
   
 8. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huna habari kuwa kawatetea na kusema waendelee akidai kuwa huu ni upepo tu, unavuma kisha utatulia tu.
   
 9. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hivi alishahama new africa hotel?
   
 10. M

  Moony JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi wa nini naye huyo?

  Mnakumbuka waliposema kuna mafuta Zanzibar akasisitiza kuwa siyo, wala hayatakuwa ya ''MUUNGANO"?
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bado sijaelewa ni kwanini waziri wa ulinzi bado yuko kazini? Mbagala, Gongo la Mboto na sasa mipaka ya nchi inavamiwa (mpaka wa TZ & Malawi) lakini bado yuko!

  Pia Shukuru Kawambwa hatakiwi kabisa. Huyu mheshimiwa ndiye alikuwa ofisini wakati ATCL ina-sign mkataba mbovu na kama haitoshi ni yeye aliyeongeza madeni kwenye ujenzi wa barabara maana wakati akiwa kwenye hiyo wizara gharama za kujenga barabara zilipaa kwa kasi ya ajabu. Na hii yote ilikuwa ni ufisadi. Then akaanza kujenga barabara ambazo hazikuwa kwenye bajeti na sasa tunasikia wabunge wanalalamika barabara zilizokuwa kwenye list ya kujengwa bado hazijajengwa.

  Shukuru Kawambwa kapewa jukumu la kuendesha elimu ya watoto wetu! maajabu!
   
Loading...