Madudu na uoza katika Serikali ya Zanzibar

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
- Mawaziri/Naibu/Makatibu wakuu wa wanauza majumba na viwanja kwa faida zao.
- Wanaajiri waoto wao wenye elimu ya F.IV na kulipwa mishahara ya Degree
- Familia ya Karume yajichukulia majumba na ardhi.
- Kisiwa kidogo kinauzwa kwa mwekezaji bila kujali usalama wa nchi
- Ofisi ya Rais yatumiwa kama kivuli cha kuficha ufisadi
Na mengine mengi. Ikiwa hutaona uvivu soma document iliyoambatanishwa.
View attachment Ripoti ya Kamati Teule ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.doc
 
wanasiasa kama JUSA wanazidi kuimaliza zanzibar!mkitaka ukombozi wa fikra ipokeeni M4C...
 
Wakina ami wanaona poa tu imradi wanakula tende na ulojo
 
Kwa hio jamii forum walengwa ni watanganyika baadae semeni wenyewe ni wakristo baadae semeni wenyewe chadema hakika hii dhambi utatumaliza watanzania kwa ujinga wa watu wachache tu
 
Ni ******* na ***** fikra zenu wote mnaodhani matatizo ya Znz si ya Tanzania. You are ****** and you need help! ********!
 
Ujumbe umefika. Ninakuombeni muwaombe MODS waifute hii post ili jukwaa la Watanganyika lisichafuliwe.

mna maanisha huu mtandao hauvuki bahari?halafu naanza kupata kuhusiana na hii dhana kuwa jf ni great thinker na bado mnaruhusu ubaguzi wa kijnga kamahizo post mbil hapojuui
 
Ni ******** na ********* zenu wote mnaodhani matatizo ya Znz si ya Tanzania. You are ******* and you need help!*******!
Mkuu hakuna haja ya kuwatukana!! Hayo ni maoni yao ingawa yanakera sana. Cha msingi tuangalie namna ambavyo rais alivyowekwa kwa interests za mafisadi.
Sote twajua Dr. Shein hakuwa na nia ya kugombea urais Zanzibar, mafisadi wakamuomba agombee kuficha madudu yanayofanyika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vita ya ufisadi inazaa ubara na uvisiwani, udini na ukanda pamoja na mambo kibao ili mradi mafisadi yaendelee kufanya yanavyotaka. Tuunganane kuyapiga vita.
 
Mkuu wa Kamati katisha.....kawataja live Mama Fatma Karume, Amina Aman Karume na Mansour Yussuf Himid

Way to go
 
Mkuu hakuna haja ya kuwatukana!! Hayo ni maoni yao ingawa yanakera sana. Cha msingi tuangalie namna ambavyo rais alivyowekwa kwa interests za mafisadi.
Sote twajua Dr. Shein hakuwa na nia ya kugombea urais Zanzibar, mafisadi wakamuomba agombee kuficha madudu yanayofanyika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Vita ya ufisadi inazaa ubara na uvisiwani, udini na ukanda pamoja na mambo kibao ili mradi mafisadi yaendelee kufanya yanavyotaka. Tuunganane kuyapiga vita.

Pamoja!
 
Nimekuelewa mkuu!
 
nyinyi watanganyika kamwe hamuwezi kujigomboa na mtaendelea kuwa watumwa wetu kama mulivokuwa, fikra zenu ni finyu.
Watumwa wenye kiti UN, watumwa wenye Jeshi, watumwa wenye sarafu, watumwa wenye Passport, watumwa wenye uwezo wa kuiamrisha Zanzibar ijitowe OIC na Zanzibar ikatii!!........Interesting.
 
mimi nashahuri jf moderators wangeanzisha jukwaa kwa ajili ya zanzibar kwani kiukweli humu wanaonekana kubaguliwa. Poleni sana ndugu zangu wazenji.
 
Back
Top Bottom