Je Gwanda za Chadema zinauzwa Mahali..???

KML

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
861
Reaction score
134
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??
 
Kwa wale wajasiriamali dili hilo. Kwa sasa ukivaa unaokena borntown hata laki utaauza
 
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??
Hapo kwenye red pamenifurahisha sana huna wasiwasi Comrade we si msafi bwana unakatiza kifua mbele vaa jembe na nyundo uone kama hujatiririsha ka mwizi vile
 
Mimi ninalo jeusi natafuta la kaki ili niwe kamili gado kwa mapambano popote pale!!
 
kama upo Dar nenda pale makao makuu ya chama watakuelekeza kwa fundi flan hv yupo jran na pale. Yeye ndo ameshona gwanda nyng za watu wa pale makao. Hata yangu nilshonea pale.
 
mkuu yanapatkana tenna vizuri tu..sijui uko pande zipi!!
 
Kuna kitu kimoja tu ambacho makamanda hawanifurahishi. Hivi kwa nini hawavai zile za mabaka mabaka? Manake hizi khaki wanakuwa kama mgambo vile! Zile nyeusi wanakuwa kama security guard flan hivi. Nawashauri watinge zile za mabakamabaka au mnaonaje?
 
Nataka nipendekeze liwe vazi la Taifa maana watu wametokea kulipenda sana
 
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??

Yeah yapo mengi tu hapo k.koo bei kuanzia laki
 
Naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??

kuvaa gwanda za cdm haimaanishi bali kitu toka moyoni bana
 
Kuna kitu kimoja tu ambacho makamanda hawanifurahishi. Hivi kwa nini hawavai zile za mabaka mabaka? Manake hizi khaki wanakuwa kama mgambo vile! Zile nyeusi wanakuwa kama security guard flan hivi. Nawashauri watinge zile za mabakamabaka au mnaonaje?

Saa nyingine akili zako hua ni full masaburi
 
Back
Top Bottom