Bandari kuuzwa: Je, Rais Kikwete katoa baraka?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,276
1,195
Mimi mwanaCCM
Lakini hili la nchi yangu kuuzwa huku nikiwa mzima linanuuma saana

Hivi kitu kama hiki kinaweza kufanyika bila RAIS kujua?

Je Rais wangu alikuwa anajua hiki kitu?

Chukulia mfano wa familia BABA ana viwanja kama kumi mwenyewe ndo ana umiliki wa hivyo viwanja
mtu akitaka kununua lazima yeye atie sahihi au abariki, je kwa hili bandari kuuzwa Rais wangu kabariki?


 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,217
1,500
Ndio ujue sasa kuwa baba yako huyo ni BABA wa kufikia, si baba kweli....anatumika!
 

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Ni mara 10 hii nchi tungempa jembe langu lusinde kuliko huyu mwimba taarabu vasco da gama.
 

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,843
2,000
ndio rais wako anajua vizuri. Alichosema ni "chunga tusikamatwe" na "50% yangu upfront"
 

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,400
1,195
Ni baada ya kuiondoa kwa magufuli na kuipa kwa mtu ambaye anaweza kumtumia na ndo lilikuwa swala la msingi. Hivi kulikuwa na sababu ya kuitenga kuitoa kwa magufuri ikiwa na matatizo lukuki???? Shame on JK.
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,492
1,225
Ndio ujue sasa kuwa baba yako huyo ni BABA wa kufikia, si baba kweli....anatumika!
Nadhani hata baba wa kufikia hawezi akawa hivyo nadhani ungesema mama wa kufikia walao ningekuelewa maana kidogo kwa mama wa kufikia ndo wanakuwa na mushkeri kidogo
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,492
1,225
Vasco dagama kaifanya Tz shamba la bibi na alivyo hatarudi tena kutuomba kura atatuonyesha kila aina ya rangi hasa waTz wa hali ya chini
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,955
2,000
Sasa wamekaribia kuipiga bei kitaru no. 1 Magogoni,naona watakuwa wanatafuta mteja.
 

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,803
0
We Kupeng'e si ulikuwa unatumia masaburi kupinga hoja za ukweli zinazo elekezwa kwa serikali ya baba ako sasa umeona mchina anapewa bandari kwa miaka 45 naamini wewe utakuwa tayari umesha kufa miaka hiyo
 

fredmlay

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
1,852
1,225
Hakuna kitakacho sitirika.. jamani mwambieni nyie wambea (usalama wa ccm) kwamba kila wapangacho kitafumukia juu tu hakuna ujanja karne hii..
 

mwakaboko

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,892
2,000
siamini macho yangu, hivi inakuwaje hawa watu nakumbuka waliapa kulitumikia taifa hili kwa uaminifu, huku wengine wakishika vitabu vitakatifu, la!!!!!!!!!!!! kumbe ndio hivi!!!!!!!! SI AJABU SIKU MOJA NITAJIKUTA NAMI BILA KUJUA NIMEUZWA PAMOJA N FAMILIA YANGU
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,054
1,500
Kwa kuhakikisha MoU ambayo ni official inakuwa signed kila page na wahusika.

Sasa tupatie full page ya scanned copy including the signatures at the bottom of the page ili tuhakikishe kwamba hii ni ya ukweli na siyo ya majungu.

Otherwise hata mimi naweza kudraft kitu kwenye laptop yangu nikaandika niyatakayo halafu nikaituma kwenye jf.

Just to be fair.....
 

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,823
2,000
Ndio ujue sasa kuwa baba yako huyo ni BABA wa kufikia, si baba kweli....anatumika!
kwa kweli hapa sina baba. nimemsikia mzee Lembeli asubuhi akieleza jinsi wanyama wanavosafirishwa kwenda Karachi kwa Waarabu roho ikaniuma sana. Ukisikia mtu anasema nchi imeuzwa usidhani anapiga porojo. AIBU GANI HII? Tunatenda dhambi kubwa namna hii ya kuuza urithi tuliopewa na Mungu? Waarabu wanatulipa nini? Mbona mafuta yanatoka kwao na bado imebaki bidhaa adimu na ghali? Kwani
 

peter paul

Member
Apr 22, 2012
15
0
Lazima atakua anafahamu, we unazani hii miziara ya dunia zima pesa zinatoka wapi? na nn hasa anatafuta huko maana toka 2005 mpaka sasa sioni kama kuna faida ya misaada anayoimba kila siku, labda msaada wa pesa ya kuzururia majuu ili akatafute ardhi ya kwenda kuishi mara baada ya kutoweka 2015 na pesa hizi za mauzo ya nchi yetu, INANIUMA ILA BASI TU.

:rolleyez:
 
Top Bottom