Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali ya hewa.

Inadaiwa Ole Sendeka aliwataka wabunge wenzake kupunguza hasira na kuwasamehe mawaziri akisema kuwa nao ni binadamu ambao kwa vyovyote lazima wawe na mapungufu.

Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo wa Msekwa kulipuka kwa kumzomea kabla ya Mbunge wa Kigoma, Mjini Peter Serukamba kumueleza mbunge huyo kuwa “huna sera kwa leo kaa chini”.

MY TAKE

Kama haya yote yanatamkwa na wabunge wa CCM let it be a sustainable spirit for the wellbeing of Tanzania not CCM.

Source: Pinda rehani
 
Serukamba ni mtu wa Lowassa, tena yeye ni mpambe wa Lowassa kuliko hata Millya. Ole sendeka ni kambi ya Six. So nothing new hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom