Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Wizara yake inatoa vibali vya uwindaji kinyume cha sheria.

Maige anailalamikia Kamati kuwa haikumshirikisha yeye kama Waziri.

Maige anadai Kamati 'inadaiwa' kuhongwa.

Kamati inadai Wizara imejaa watu wenye viburi sana na dharau, waliinyima ushirikiano Kamati wakati wa utendaji.

Kamati inaomba Serikali iwawajibishe wanaoshiriki ufisadi Wizarani unaoliingiza taifa hasara.
 
Janga lingine la Taifa hilo.Uozo wa hii wizara ulianzia mbali sana!
 
wakuu huyo kamran ni nani ameishika vibaya wazara ya maliasili.
 
Mmmh hivi mbona wakati kama huu huwa hawapatwi na zile presha zao wakaanguka na kufa tukalia na kuasahahu?? Ndugu zangu naskia wanaandaaa swala maaalumu ntaenda kuwaunga mkono
 
kuna mama anashusha point hapa bila kumng'unya maneno.anasema wabunge wa ccm waungane na waupinzini kumwajibisha waziri mkuu sababu kila wizara imeoza.
 
Sijui Dr. Mgimwa anaongea nini! Hajasoma alama za nyakati anaongelea economic growth na GDP wakati watu wanataka kusikia habari za uwajibikaji! Naona hata wabunge hawamuelewi kabisaaa yeye ni takwimu tuuu. Alitakiwa akahutubie kwenye Lecture Room ya Economics na siyo Bungeni.
 
Back
Top Bottom