Tafsiri yangu: Ikulu Walivyokana kuwalinda MAWAZIRI, ni kuwalinda MAWAZIRI!

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
KAMA JK alikuwa anawazo la kuwawajibisha mawaziri ikulu isingekuwa na haja ya kukana habari 'potofu' kama ilivyoziita tungeona vitendo tu!

Kusema kwamba haiwezi kulinda uozo ni kuwasafisha mawaziri kuwa hawakukosea kama hawatajiuzuru

ni kawaida ya ikulu Kulinda uovu Unamkumbuka LUHANJO KATIBU MKUU KIONGOZI KASTAAFU KWA HESHIMA MWACHENI BABA WA WATU APUMZIKE?

Nauhakika na ikulu uwa wanakula ila siwezi kuthibitisha

naamini na Pinda nae mwizi tu kwani huwa anakili aliyemfundisha na kumfanya awe mwanasiasa ni MKAPA.

NAZANI DK 90 ZIMEISHA wananchi tumepigwa bao japo refa hakuwa fear
 
Hivi unataka kusema kitu gani hiki ulichoshindwa kukipresent kwenye post yako
 
Nasema ikulu na mawaziri wake na wooooote wa ccm ni zero.....
Hawawezi kuendelea kutufanyia vitu vya kipuuzi huku tunafurahia...
I hate then na kama ningekuwa na uwezo wa kuwatoa duniani ningewatoa sasa hivi
Niko bored sana na ujinga wao
 
Sisi siyo wajinga kama anavyofikiri Huyo Vasco Da Gama, hili lianatulia ndani ya mioyo ya watanzania tukisubiri mtu wa ku-ignite fire ili kieleweke
 
Yaani sijapata kuona shameless people kama viongozi watanzania. Yaani wametuibia, wamjaza matumbo yao na sasa wanatutapikia kwenye viatu vyetu. Na la kuhuzunisha zaidi, hatuna lakufanya zaidi ya kulalamika.

Ehee Mungu tusaidie, Wewe pekee ndio kimbilio na msaada kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom