Tamko la Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la Serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SANKA, Apr 23, 2012.

 1. S

  SANKA Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau tunaomba mwongozo kuhusu Kauli ya serikali kuhusu uwajibikaji wa mawaziri kujihuzulu je Pinda keshatoa mwongozo
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Bado mchakato unaendelea bado hajatoa tamko. Atatoa wakati anatoa hoja ya kuahirisha bunge baada ya hoja zilizoko mezani.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Anaongea profesa Maghembe anazungumzia umuhimu wa kilimo na kauli mbiu mbali mbali kama:- Kilimo ni uhai, kilimo cha kufa na kupona na sasa kilimo kwanza. Ila kinakua kwa 4.2% tu.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Bunge linaendelea, nafikiri wakati wa kuahirisha bunge atatoa tamko. ninachojua ni kwamba atalialia kama kawaida yake
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Heading yako ina mislead, unaweza kufikiri labda ndani kuna tamko la serikali kumbe unauliza!!!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Siyo Maghembe anayeongea. Ni Prof. Peter Msolla
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu akilia safari hii hakuna mtu wa kumbeleza, watu wanataka kauli tu na siyo machozi ili wajue nini kifanyike.
   
 9. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Huwezi amini kama alikuwa waziri wa sayansi na technolojia.......mpoleeeeeee
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ahsante mkuu kwa sahihisho.
   
 11. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukiingia jf kuwa makini na unachokieleza humu kuna watu makini.
   
 12. livinstonne

  livinstonne Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hana lolote anajipendekeza apate tena uwaziri
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  na asipotoa maamuzi alivyoahidi, watanzania wataamua wenyewe!
  huu upepo ni mwingine, na mungu amewanyima ufahamu hawa magamba, mwaka huu mpaka watapata aibu
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yani hakuna jipya tutegemee kutoka kwa Pinda.
  Ikulu imetoa taarifa kuwa Rais hana taarifa yoyote ya Pinda kuhusu mambo yaliyojiri bungeni.
  Pamoja na hayo JK kasema "huu ni upepo utapita" sijui upepo upi!!!!!!!!!!!!
   
 15. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mwenyewe huyu hapa
   

  Attached Files:

 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Paulina Gekul (dada yangu) anasisitiza kuwa ni sahihi kushinikiza waziri mkuu kujiuzulu, kwa maana ya kuiwajibisha serikali
   
 17. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,721
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  eee mwenyezi mungu tuongezee hekima na busara kwa sisi wabunge ili tufanye maamuzi sahihi
  mbona wabunge wengi wa ccm hawataki kumwajibisha PM
   
 18. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  vitalu vinagawiwa hovyo...wizara imegeuka kuwa dalali...wananchi wanaopakana na mbuga wanateseka sana
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa!
   
 20. King2

  King2 JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kikwete hana habari.
   
Loading...