Kwa ufahamu wangu juu ya utendaji kazi wa Waziri Mkuu, kwa Busara zake kawa wasemavyo wengi, Si Ajabu kusikia akisema "HAJAPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA RAIS JUU YA KUJIUZURU KWA MAWAZIRI HAWA NA...
Ukifuatilia mjadala wa bunge unavyochambua wizara ya mali asili na utali na ukarecord wachangiaji wote katika mijadala iliyopita utagundua kuwa wote wameoza, si mawaziri , si makatibu wakuu, si...
katika kufuatilia hili bunge na habari zinazotoka ndani yake kwa maoni yako ni wizara ipi ina afadhali katika uwajibikaji kwa wananchi na ubadhirifu mdogo?
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."
"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio...
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Saturday, April 21 2012 at 11:44
Ordinarily, a regional chief of a youth organisation of a political party would be small fry, and whatever he did would not add...
TUCTA ina faida gani kwa sasa?
Jamani hawa TUCTA wameshindwa kulaani hata huu ufisadi mkubwa uliofanywa na Mawaziri.
Sasa kama hela nyingi hivi zimeliwa, je wafanyakazi si wanaweza kulipwa hata...
Inaonekana kuwa spika wa bunge ANNA MAKINDA hana msaada kwa taifa leta.Amekuwa ni mlinzi wa wa masilahi ya chama chake.Kwa taarifa za kamati za bunge alitakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda maslahi...
Inaonekana kuwa spika wa bunge ANNA MAKINDA hana msaada kwa taifa leta.Amekuwa ni mlinzi wa wa masilahi ya chama chake.Kwa taarifa za kamati za bunge alitakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda maslahi...
.
Are you grieving or celebrating the shake up that your party and government is going through?..........umesaini fomu ya Zitto au la??....Mzee wewe husihi vituko!!
Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia...
Hii ni kweli kwamba sasa hivi vyama vikubwa vya CCM na CUF vinahimiliwa na vijana wawili Nape Mnauye na Julius Mtatiro..,hawa ni vijana ambao wanaonyesha uwezo mkubwa kwenye suala zima la uongozi...
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
Mawaziri wanaumbuana mbele ya hadhara.Ilianzia Sitta na Nahodha ingawa kabla ya hapo kulijitokeza mgongano wa wazi wa mawaziri katika suala la kulipwa Dowans.
Jairo amefanya madudu na...
Kwa hali halisi nchi yetu nzuri ya Tanzania iko katika hali mbaya saana kiuchumi!!!!! Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, sukari, mafuta ya magari bei juu zaidi ya mara tatu...
Kwa yanayojiri General Tyre ningependa nione Dk Cyril Chami anabaki kwenye post yake ili tuone mwisho wa CHC na kina Lema ya Chami kuhusu fedha za mafao ya wafanyakazi zapata Tsh. Bilioni 15...
Tangu baada ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki kupita W.J. Malecela ameendelea kuwa mtu maarufu humu JF.
Lakini kinachonishangaza ni ile hali ya wana JF kushikilia kwamba Willy kama anataka...
Kijana Nape, angalau wape pongezi Wabunge mashujaa sita wa CCM waliothubutu na ikiwezekana usiishie hapo, walaani wote waliobaki kwa kuonesha woga na unafiki uliokubuhu. Ukifanya hivyo, wengi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.