Tusitegemee makubwa kutoka kwa wabunge wa CCM

maoniyangu

Member
Jul 9, 2011
53
4
kutokana na mambo yanavyokwenda bungeni wengi tumeanza kupata hisia huenda pm akang'olewa. Ila tukumbuke wabunge wa ccm ni wale wale wale waliokalishana chini na kuja kupitisha muswada mbovu wa sheria ya katiba. Hawa wabunge ni wanafiki na wlichokuwa wanafanya ni kutaka kuonekana nao ni wapambanaji. TUSUBIRI TUONE ZITAPATIKANA SAHIHI NGAPI KUTOKA KWA WABUNGE WA CCM.
 
Ni kweli kabisa, kwani kilichotakiwa ni kupiga kura pale pale.
Kitendo cha kuwapa mwanya wa kwenda kujadiliana utakuja na yale yale ya siku zote.
Maamuzi wangeyafanya wakati wana munkari nadhani tungetegemea mambi mengine
 
kaka usiwe na wasiwasi saini sabini kwa wabunge wa ccm pekeyao zitazidi, wengi wamefufnguka tena wanamuomba zito karatasi ili waweze kusaini mapema. call from domdom mbunge
 
Back
Top Bottom