Mh Pinda & Zitto Kabwe ni Mashujaa wa April 2012 kukumbukwa katika historia ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Pinda & Zitto Kabwe ni Mashujaa wa April 2012 kukumbukwa katika historia ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr Emmy, Apr 24, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri na Watendaji Wakuu wa serikali yanayotarijiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii ni matokeo ya ushujaa wa Mh Pinda ambaye ni Waziri Mkuu na kiongozi wa serikali bungeni na Zitto Kabwe naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni.

  Tuwaunge mkono mashujaa wetu kuelekea katika zama mpya za mapinduzi ya kijani na mwamko mpya wa Tanzania chini ya chama cha mapinduzi na Mh Zitto Kabwe katika kushirikiana na serikali yao kuboresha utendaji wa kazi
  .
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  unauhakika mabadiliko yatafanyika.? Na ushujaa wa pinda ni upi mbona unapamba kitu kisichopambika.?
   
Loading...