Hivi Malagarasi hunting ni ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Malagarasi hunting ni ya nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchambakwao, Apr 24, 2012.

 1. m

  mchambakwao Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani ukifuatilia mjadala wa bungeni siku chache zilizo pita hasa kuhusu wizara ya mali asili na utali na ile habari ya gazeti la Mtanzania eti wanakamati wa Ardhi,Maliasili na Mazingira walipewa vibahasha na kibaraka fulani kule kwenye hotel ya St.Gasper hizi zilikuwa ni hujuma za kulichafua bunge.
  Nimejaribu kuunganisha mwenye gazeti na mwenye hiyo kampuni,nionavyo ni mtu mmoja yaani anayemiliki kampuni na gazeti ni mmoja.
  Wadau mnalionaje?
   
Loading...