Who owns Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who owns Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Escobar, Apr 24, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Jana jioni wakati bunge likiahirishwa huku watu wakiachwa midomo wazi kwa kutosikia walichokitarajia, nilikuwa sehem naangalia hitimisho hilo la mtoto wa mkulima. Baadaya kuisha kwa hotuba yake ilionekana watu walikerwa na kutochukuliwa hatua kwa waliotajwa kwa ufisadi wa mali za uma, kuna watu walioondoka kwa hasira huku wakiacha vinywaji vyao lakini pia wapo waliotikisa vichwa tu na kuendelea na vinywaji vyao na ndipo hapo mijadala isiyorasmi ilipoanza.

  Kuna afisa mmoja sijajua niwa ubalozi gani maana aliingia na Rav 4 ya number za kijani ila anaongea rafudhi kama ya jirani zetu wakei ndipo akatoa neno kuwa inaonekana watu wanakerwa sana na hali hii lakini wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, kwani WHO OWNS TANZANIA? Hakuna aliyejibu, jamaa akaongezea basi mmiliki wake anatakiwa achukue hatua!

  Kwa tafsiri yangu ni kwamba kama nchi ni mali ya wananchi basi wachukue hatua na kama ni mali ya serikali basi tukubaliane na wanachoamua juu ya mali yao! To be honest nilishikwa na hasira sana
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Usa and "wawekezaji" are the owners of tanzania the land of free milik
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  me, my self and i
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  jk,his family and a bunch of his fellow criminals
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  you & I
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Ukondoo wa watanzania ndio unaotuumiza, kondoo wajinga. Mijitu tukila mihogo na mlenda , basi dunia imeisha. We Tanzanians own Tanzania and not rulers
   
 7. T

  Twigwe Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli Watanzania Tumejaa uoga usiokuwa na maana, nilitegemea kusikia maandamano kwenye majimbo mbali mbali wakisupport wabunge, lakini wooolaaaaaaaa!!! du ndiyo maana wanajichukulia vyao mapema!!!
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160

  .
  "A nation of sheep will beget a government of wolves." - Edward R. Murrow

  .
   
 9. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Maandamano yanahitaji kiongozi mzuri wa kujua kuandaa maandamo na ajitoe mhanga.Nchi nyingi zilizofanikiwa kuleta mapinduzi kwa kutumia nguvu ya umma,zilikuwa na watu wachache waliojitoa mhanga kwa kuhubiri nchi nzima kuandaa maandamano.Hata mashuleni na vyuoni migomo ikitaka kutokea,huwa wapo viongozi wa migomo.Tanzania tupo watu milioni 40,ni ngumu kuji organise bila kuwa na wachache wa kujitoa mhanga.

  Kwa hiyo bado hao wachache hawajapatikana.Ni kweli tuna hasira lakini tupo busy kuandika kwenye mitandao kwenye kiyoyozi.
   
 10. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,336
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  binafsi sishangazwi na majibu ya jana niliyategemea hivyo mapokeo yake hayakuniumiza sana lakini nadhani muda unakaribia kufika tutachapana bakora hii hali haikubaliki kabisa ni zaidi ya upumbafu.
  knini kifanyike? ningekuwa nina taaluma ya habari ningetumia kalamu yangu kuandika madudu haya lakini na wao wamekaa kimya wanasubiri bahasha kutoka kwa wezi kama ombaomba badala ya kutimizi wajibu wao na wakipeleka akili na utashi wao kwa kutuandikia makala za umbea na udaku tu
   
 11. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  My mum and I
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kiwete and his friends!
   
 13. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tanzania ni ya watanzania. Lakini kwa sasa kikwete ndiye anayeshikilia hati miliki ndio maana hata wabunge walipoamua kupiga kura ya kutokuwa na imani na pinda na mawaziri wake . Yeye peke yake mtu mmoja kutOka msoga amevuruga zoezi hilo na watanzania tuko kimya kama hatuwezi mfanya lolote. Mkumbuke ni kikwete huyuhuyu aliyewanywea wafanya kazi mvinyo toka asubuhi HADI MCHANA na JIONI YAKE akawaita wazee wa dar( wazee njaa) akiwaporomoSHEA matusi WAFANYAKAZI tanzania nzima kuwa hata wakimnyima kura wako wachache 300,000 NA HAONGEZI MSHAHARA NG'OO!. Wafanyakazxi WAKAnywea kwa kweli yaani vasco dagama anaigeuza geuza nchi hii anavyotaka. One yes THEY shall knock HIM down
   
Loading...