Tamko la ZITTO na FILIKUNJOMBE hili hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la ZITTO na FILIKUNJOMBE hili hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chenge, Apr 24, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Bofya hapa kusikia tamko la Zitto na Filikunjombe

  http://yourlisten.com/Player.swf?id=123979


  [​IMG]

  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akiweka saini kwenye fomu ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

  [​IMG]
  Zitto akienda kuwasilisha Hoja kwa Ofisi ya Spika Anne Makinda
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Sawa mzeee.........lakini matunda yake baado
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  simu yangu ya kichina
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Zitto Zuberi Kabwe,
  songa mbele na Mungu
  atakuwa pamoja na wewe.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Serikali inaona jambo hili kama sanaa vile, ngoja waje washangae inaondoka na baba mwenye nyumba.
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hivi serikali ndio imepuuzia suala hili au??
   
 7. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ungetupa japo kwa kifupi hicho kilichoelezwa, kwa kuzingatia kuna tunaotumia visimu vya tochi na tupo mbali na pc!
  Msaada tafadhali.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nuru na giza daima huwa havifungamani. Kitaeleweka soon.
   
 9. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Songa mbele kamanda kwani watanzania wanaoipenda Tanzania wapo nyuma yako
   
 10. K

  Kiti JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo siyo Pinda. Tatizo ni ******!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. k

  kishare Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  peoples poweeeeeeeeeer,tena zitto msiogope tumesha tenga pesa nyingi tu kwajili ya mapinduzi,vijana tupo tayari kwa lolote sasa.Mungu awatangulie na kuwalinda siku zote.
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Jamaa ana damu ya kiisrael.....
   
 13. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mambo mazuri hayaji kiurahisi.
  You just be panciation anda you will see what next!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Na tumia m0torola ya mobiteli
   
 15. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mzee mkono umejaribu kuonesha ujasiri wako. Kuwa jasiri zaidi kwa kuvua kofia yako ya kutinga Combati za CHADEMA upate heshima zaidi.
   
 16. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wewe mzee wewe, ishu ya enzi zile unatuletea leo? sijamaliza mpaka mwisho, lakini inahusu kukusanya sahihi 70 tu. leo tunazungumza sahihi 8,000,000, hivyo uzi wako umepitwa na wakati
   
 17. n

  nganyoo Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  that is great mzee mkono,keep t up
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimefarijika sana na perfomance ya Zitto kwenye kikao hiki cha bunge. Anaanza kurudia enzi zake za 2007. Anaanza kuwa CHADEMA na sio 'vuguvugu'. Hata mavazi yamebadilika, mambo ya suti pembeni ni kombati full! Zitto usuridi nyuma na kumbuka wapiga kura ni watanzania na sio wawekezeji. Hongera sana Zitto.
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  let's wait and see the outcome of this whirlwind...
   
 20. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Vipofu wanaona ni upepo 2 utapita..ila siku wakiamka wakakuta mitutu ipo vichwani mwao ndo watajua ilikua ni dhoruba kama c gharika na bahati mbaya ni kwamba muda kwao utakua umekwisha..tumedharaulika sana
   
Loading...