Change ya rada yapangwa kumegwa kiaina: Sheria ya manunuzi 2004 yazomewa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Change ya rada yapangwa kumegwa kiaina: Sheria ya manunuzi 2004 yazomewa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Midas Touch, Apr 24, 2012.

 1. M

  Midas Touch Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  [FONT=&amp]Ilikuwa tarehe 12/4/2012 bungeni Dodoma wakati Waziri Mkuu akijibu maswali ya papo kwa papo, ndipo Mbunge wa Iramba Magharibi Mh. Mwigulu Nchemba akamuuliza Waziri Mkuu status ya CHANGE YA RADA na mchakato wa matumizi utakavyokuwa. [/FONT][FONT=&amp]Kila point hapa chini nimeweka vema([/FONT][FONT=&amp]√[/FONT][FONT=&amp]) au kosa([/FONT][FONT=&amp]X[/FONT][FONT=&amp]) kuonyesha ni sahihi au siyo sahihi kwa mtazamo wangu.[/FONT]

  [FONT=&amp]Majibu ya Waziri Mkuu:[/FONT]
  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]Ni kweli change ya rada imeshapatikana na tunayo: GBP 29.5 milion, takriban Tsh. 72.3 bilion hivi. [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Itatumika kukuza elimu hasa katika shule za msingi.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp]Itatumika kama CAPITATION GRANT kwa ajili ya manunuzi ya vitabu kama ilivyo kawaida (ikizingatia sheria ya manunuz).[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp]Sehemu ya pesa hizo zitatumika kununulia madawati katika halmashauri tisa hivi zenye upungufu mkubwa wa madawati.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  [FONT=&amp]5.[/FONT][FONT=&amp]Pesa hizo zitapelekwa TAMISEMI kwani wao ndio wanaohusika na shule za Msingi.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  [FONT=&amp]6.[/FONT][FONT=&amp]Pesa kidogo itapelekwa Wizara ya Elimu kwa ajili ya ufuatiliaji. [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]7.[/FONT][FONT=&amp]Tutafungua account maalumu pale BANK KUU kwa ajili yak ku-monitor zoezi hilo.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  ·[FONT=&amp] Note: [/FONT][FONT=&amp]Government Procurement Services Agency (GPSA) wako hapa wizarani.[/FONT]
  [FONT=&amp]8.[/FONT][FONT=&amp]Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali – CAG atashirikishwa kuhakikisha zoezi linaenda sawa.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]

  [FONT=&amp]Mfumo uliopo kisheria (public procurement act 2004) na kisekta.[/FONT]
  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]Kulingana na sheria ya manunuzi 2004, zabuni hutangazwa na washindi hutangazwa na kupewa kazi[/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Kwa mfumo uliopo sasa hivi, wizara ya fedha kupitia Government Procurement Services Agency (GPSA) inao wazabuni waliochaguliwa katika Calloff Tender Agreement 2011/2012 inayo expire June 2012. Tender nyingine kwa ajili ya 2012/2013 ilishatangazwa na makampuni na watu waka-BID. Matokeo yatatoka hivi karibuni. Tembelea [/FONT]www.gpsa.go.tz[FONT=&amp] usome list of suppliers.[/FONT][FONT=&amp] √[/FONT]
  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp]Pesa zinapelekwa mashuleni, kamati za shule zinapanga na kuchagua vitabu husika na wazabuni kupewa kazi ya kusambaza. Malipo hulipwa kwa mzabuni baada ya vitabu kuhakikiwa na kupokelewa. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya manunuzi, 2004 pamoja na marekebisho yake.[/FONT]
  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp]Kwa kipindi chote cha Calloff Tender 2011/2012, kazi ya vitabu haikupatikana kwasababu serikali haijawa na pesa ingawa bajeti ya 2011/2012 ili-allocate pesa. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]5.[/FONT][FONT=&amp]Wajasiriamali (booksellers) ambao ndio wasambazaji vitabu mashuleni wamepata hasara:[/FONT]
  [FONT=&amp]a.[/FONT][FONT=&amp]Calloff order[/FONT][FONT=&amp] haijafanyika kwa ajili ya vitabu: Gharama za tender na mikopo ya ki-bank iko palepale at the risk of booksellers. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]b.[/FONT][FONT=&amp]Tender nyingine kwa ajili ya 2012/2013 ikatangazwa na kukamilika 13-2-2013. Kila bidding document in Tsh. 50,000/- na Mtu/kampuni ime-tender hata sehemu 10.[/FONT]

  [FONT=&amp]Mchezo Mchafu Pamoja na Rafu za Kishezi Kuhusu Usambazaji Vitabu Waanza Kimya Kimya.[/FONT]
  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]Kama[/FONT][FONT=&amp] watu wengi walivyo wavivu wa kusoma vitabu hasa maafisa wa Wizara ya Elimu na TAMISEMI, vivyo hivyo hawajui mfumo uliopo katika usambazaji vitabu na wala hawatafuti ukweli. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Makampuni makubwa (Multinationals) ya vitabu yakiongozwa na OXFD UNIVERSITY PRESS (T), kwa kutumia rushwa ya hali ya juu wamehusika kupindisha utaratibu uliopo wa usambazaji vitabu kwa manufaa yao kuhusu hii CHANGE YA RADA. Kampuni hii, OXFD UNIVERSITY PRESS (T) ina vitabu vingi sokono (≥ 80% market share). Vitabu vyao vilipitishwa wizarani kifisadi ingawa havina ubora wa kutosha ila vina ITHIBATI. Kutokana na hili, maafisa wengi pale wizarani walibadilishwa baada ya Publisher wengi kulalamikia vitabu vyao kutopita au vikipita inachukua hadi miaka miwili na OXFD UNIVERSITY PRESS (T) wako sokoni! Lol. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]

  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp]Kinyume na sheria ya manunuzi na utaratibu uliopo, baadhi ya maofisa wa TAMISEMI na Wizara ya Elimu wame-collaborate na OXFD UNIVERSITY PRESS (T) LTD ili kupindisha mfumo wa usambazaji wa vitabu vya CHANGE YA RADA na kuweka mfumo walioamua kuuita “Centralized System” ya kifisadi. Eti, hizo wizara zinunue vitabu kwa hao big publishers kifisadi na kuvisambaza kifisadi. HUU UTARATIBU ULIKATALIWA NA DONOR COMMUNITY KWA KIPINDI CHOTE CHA MMEM KUANZIA 2000 – 2009. CAPITATION FUND IKAWA INAPELEKWA KWA WALENGWA YAANI MASHULENI NA UFANISI UKAONEKANA, VITABU VIKAWEPO MASHULENI. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp]Huu utaratibu utazaa ufisadi wa hali ya juu kuliko ule ufisadi uliokuwepo kwenye RADA YENYEWE. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]5.[/FONT][FONT=&amp]Kwa mtindo huo wa usambazaji walioamua kuuita “Centralized System”, volume ya vitabu vya kununua itapungua sana kwa sababu: [/FONT]
  [FONT=&amp]a.[/FONT][FONT=&amp](a) Zaidi ya Tsh. 20 bilion itatumika kama gharama ya usambazaji hadi mashuleni. Hii inaweza kuepukwa kwa publisher kum-discount bookseller at ≥ 30% kama ilivyo kawaida (signed MOU) na pesa za kununua vitabu zikabaki palepale. Distribution cost shifted to publisher and bookseller. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]b.[/FONT][FONT=&amp]Maafisa wa TAMISEMI na Wizara ya Elimu watakuwa na semina na safari nyingi sana zenye kuibomoa CHANGE YA RADA hadi kufikia Tsh. 2 bilion. [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]

  [FONT=&amp]Hasara kwa uchimi wa Tanzania na sekta ya vitabu kwa ujumla[/FONT]
  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]MULTIPLIER EFFECT[/FONT][FONT=&amp] ya CHANGE YA RADA itakuwa hafifu kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu haya makampuni makubwa hasa huyo OXFD UNIVERSITY PRESS (T) wana-print vitabu vyao nje ya nchi hivyo basi kiasi cha Tsh. 18 bilion kitapaa kwenda ku-print vitabu huko abroad. Makampuni ya ndani hayatapata kazi ipasavyo za ku-print vitabu. Waziri wa Viwanda na Biashara UPO! [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  ·[FONT=&amp]Multiplier effect defined:[/FONT][FONT=&amp] In economics, a multiplier is a factor of proportionality that measures how much an ENDOGENOUS VARIABLE changes in response to a change in SOME EXOGENOUS VARIABLE (hii ndio change ya rada).[/FONT]
  [FONT=&amp]For example, suppose a one-unit change in some variable x causes another variable y to hange by M units. Then the multiplier is M.[/FONT]
  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Hata hao wafanyakazi wa OXFD UNIVERSITY PRESS (T) vimishahara vyao ni mbuzi sana. Mkurugenzi Mkuu hana take-home ya Tsh. 2m na hao wengine ni vilaki kadhaa! [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]
  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp]Kwa hivyo % kubwa ya CHANGE YA RADA ita-u-turn! Lol. [/FONT][FONT=&amp]x[/FONT]
  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp]GOVERNMENT PROCUREMENT SERVICES AGENCY (GPSA) mko wapi! [/FONT][FONT=&amp]X [/FONT]

  [FONT=&amp]My take: [/FONT]
  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp]Stakeholders wote wa sekta ya vitabu wahusishwe katika matumizi ya CHANGE YA RADA ili kuhakikisha ufisadi hautokei na sekta zote zinafaidika kisheria na kiuchumi. Stakeholders sahihi ni:[/FONT]
  [FONT=&amp]a.[/FONT][FONT=&amp]Publishers kupitia Publishers Association of Tanzania (PATA), hapa Authors wanawakilishwa [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]b.[/FONT][FONT=&amp]Bookselllers kupitia Booksellers Association of Tanzania (BSAT) [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]c.[/FONT][FONT=&amp]Printers kupitia Printers Association of Tanzania. [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp]Sheria ya manunuzi ifuatwe kama ilivyo – Utawala wa sheria [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp]Hoja ya SPECIAL FUND ili kufisidi CHANGE YA RADA iepukwe kama MALARIA! [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]
  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp]STAKE HOLDERS waende MAHAKAMANI KUZUIA matumizi ya CHANGE YA RADA hadi kieleweke. Sheria inawalinda. [/FONT][FONT=&amp]√[/FONT]

  [FONT=&amp]NAWASILISHA[/FONT]
   
Loading...