Sikukuu za Kitaifa zinauwa na kudumaza uchumi na maendeleo ya nchi hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikukuu za Kitaifa zinauwa na kudumaza uchumi na maendeleo ya nchi hii!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Apr 24, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Moja ya vitu vinavyotafuna rasilimali za nchi hii ni sikukuu za kitaifa za serikali. Mbali na sikukuu zipatazo 15 za kitaifa za serikali na dini ambazo ni rasmi, kuna sikukuu zisizo na idadi za serikali ambazo hutumia fedha nyingi kuziadhimisha. Inaelekea kila siku ya Mungu nchi hii kuna sikukuu! Chache ninazozikumbuka:

  1. Siku ya kupanda miti,
  2. Siku ya Ukimwi
  3. Siku ya kifua kikuu
  4. Wiki ya maji
  5. Wiki ya mazingira
  6. Siku ya manesi
  7. Siku ya utepe mweupe
  8. Siku ya walemavu
  9. Siku ya watoto yatima
  10. Siku ya ushirika
  11. Wiki ya nenda kwa usalama
  12. Siku ya haki za binadamu
  13. Siku ya vyombo vya habari
  14. Siku ya chanjo ya polio
  15. Wiki ya maonyesho ya biashara za ndani
  16. Wiki ya maonyesho ya biashara za nje a.k.a sabasaba
  17. Wiki ya maonyesho ya kilimo a.k.a. nanenane
  Tafadhali ongeza nyingine!
   
Loading...