Chadema yakamata ngome ya ccm kyaka.

Mar 10, 2012
24
3
Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP ndugu plasid Vedasto akiambulia kura 2.katika eneo ilo wanatoka vigogo wa ccm kama mbunge wa Nkenge Asumpta Mshama,mwenyekiti wa jumuhiya ya wazazi ndugu Fidelis Kibarabara,katibu mwenezi wa ccm wilaya ya missenyi na ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Ndugu Projestus Tegamaisho na katibu wa jumuhiya ya vijana na UWT.
 
Back
Top Bottom