Wabunge Kuwajibishwa Majimboni Kwao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Kuwajibishwa Majimboni Kwao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Apr 24, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pendekezo langu ni kwamba; Pindi wabunge watakapo rejea majimboni, tuwabane tukiwataka watueleze ni kwa nini wamashindwa kuiwajibisha serikali kwa madudu waliyofanya.

  Msamaha tuuelekeze kwa wale wabunge wazalendo waliosaini hoja ya Zitto Kabwe ya kutaka kumg'oa Waziri Mkuu, wale waliokaidi tutangaze wazi wazi kutokua na imani nao. PIA NINGEPENDA KUJULISHWA ENDAPO WAPIGA KURA HAWANAa IMANI NA MWAKILISHI WAO, TARATIBU ZA KUMNG'OA NI ZIPI?
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  lusinde atakuwa na kesi nyingine ya mitusi badala ya hoja bungeni
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapa kwenye namna ya kumng'oa mbunge asiyetimiza ahadi zake ndipo ninapopataka
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  TUWANG'OE WAZEMBE WOOTE1 mwenye kujua taratibu atujuze!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi nipo jimboni kwangu namsubiri mbunge wangu. yafuatayo ni makosa yake
  1. Tokea amechguliwa hajawahi kusema neno lolote bungeni zaidi ya Ndiyooooo na kugonga meza mpaka mikono ikaota sugu
  2. Alishindwa kusaini kwenye makaratasi ya zito ya kutokua na imani na waziri mkuu .japokuwa wakati wa kampeni alikuwa anakemea Ufisadi huku akisema tukimpa ridhaa watakiona cha moto
  3. Hicho kitambi kakipata wapi wakati kipindi cha kampeni hakuwa na nacho
  4. Kitendo cha kuhamia Dar es salaam wakati jimbo lake lipo huku mkoani
  5. Kitendo cha kuzunguka na visichana vidogo wakati anajua ana mke wake wa ndoa
  6. kusababisha kuvunjika kwa Tv yangu baada ya waziri mkuu kuhitimisha hotuba yake jana na mimi kuivunja kwa hasira baada ya yale tuliyo ahidiwa na waziri mkuu kutoa tamko kwa yale mafisadi kutotekelezwa
  7. Pia sasa hivi anasababisha tena nivunje hii laptop yangu kwa hasira nilizo nazo lazima na hili alijibu nachochote nitakachofanya cha uharibifu kufuatia hasira za jana lazima alipe hata kama ni miezi miwili ijayo
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  unaonekana upo more than serious, nikuongezee mbinu za mbinyo, nenda nyumbani kwa huyo mb. ukikaribishwa na kuambiwa ujisikie upo nyumbani, wapigie simu familia yako muhamie kwa mb. mle, mnywe na kujitanua mpendavyo. wakiona mnawakera watamuita mbunge wako ambaye utamtwisha hayo maswali yako, akishindwa kuyajibu, basi anza kuandaa nyaraka nawe uwe mrithi wake(mb)
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kesi nyingine ni kumleta mobimba mjini!
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu daaah! shughuri ya mbunge wako si mchezo. nadhani kabla hajafika yakupasa uwadokeze wananchi wenzio juu ya hizo tuhuma!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  haahahahhaa! hako kambinu nimekapenda aisee! nitaaaply kwa mbunge wangu pia!
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jamaa yetu yupo vizuri sana! Kachambua vizuri sana, mbunge wake ni mzinguaji haswaa!
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ha hha ha haaa daah umenivunja mbavu na malalamiko yako.....pole
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata mbunge wako ni type hiyo. Pole.
   
Loading...