Mawaziri Vivuli walikuwa wapi?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.

Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote bungeni kabla ya ripoti ya Utoh.

Mawaziri vivuli mlikuwa mmelala? Au mlikuwa mmesusa kazi?
 
Mawaziri vivuli siyo wakaguzi wa mahesabu!! By the way umesahahu kuwa utoh amekuwa akileta haya miaka yote yanawekwa kapuni!? Tushukuru ripoti za kamati 3 toka kambi ya upinzani kuchukua hatua!
 
Niliwaona walikuwa wanakimbia jua,embu wacheki hapo pembeni mwa hiyo miti kwenye viwanja vya bunge.:A S shade:
 
Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.

Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote bungeni kabla ya ripoti ya Utoh.

Mawaziri vivuli mlikuwa mmelala? Au mlikuwa mmesusa kazi?
Uliwahi ona wapi mtu akifanya kosa, kivuli chake kinatafutwa.
 
Kuna hoja ziko wazi kujadili kama vile kutujuza utendaji wa counter part anavyoweza kutumia laptop 3, na kujilinda na smg na mguu wa kuku na kuzurura na tujisenti kadhaa! this can be done without cag report!
 
Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.

Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote bungeni kabla ya ripoti ya Utoh.

Mawaziri vivuli mlikuwa mmelala? Au mlikuwa mmesusa kazi?

Na anae ng'ang'ania wewe uendelee kuwa kwenye kampeni ya kutetea magamba wakati imekuwa proved kuwa huna mental capacity inayohitajika ili kuifanya kazi yenyewe (it doesn't matter kuwa kazi yenyewe ni mission impossible in any case) anatakiwa kupelekwa milembe
 
waziri kivuri wa fedha hujamuona alivokuwa anamfatilia waziri wa fedha toka wakati huo serikali kukosa pesa ya kulipa mshahara na kukopa benki.wakaanza kutoleana maneno kupitia media mpaka mkulo akasema zitto sio mzalendo

yakahamia bungeni.mkulo akasema zitto na wajumbe wake wamehongwa dogo akaapa akionekana au mjumbe yoyote amekula rushwa atajiuzuru nafas zake zote na akaenda mbali zaidi kwamba na waziri naye aweke nadhili.cag ameleta report umeona jinsi mkulo alivoaibika kaka

so mawaziri vivuli wamefanya kazi zao vizur.kabisa.huo ni mfano mmoja bt iko mingi
 
tatizo wengi humu wanachuja taarifa na kuretain wanazotaka. sugu pia huwa akimsulubu nchimbi mpaka akatamani kungekuwa na sindano ya kusahaulisha amdunge nayo sugu!
waziri kivuri wa fedha hujamuona alivokuwa anamfatilia waziri wa fedha toka wakati huo serikali kukosa pesa ya kulipa mshahara na kukopa benki.wakaanza kutoleana maneno kupitia media mpaka mkulo akasema zitto sio mzalendo yakahamia bungeni.mkulo akasema zitto na wajumbe wake wamehongwa dogo akaapa akionekana au mjumbe yoyote amekula rushwa atajiuzuru nafas zake zote na akaenda mbali zaidi kwamba na waziri naye aweke nadhili.cag ameleta report umeona jinsi mkulo alivoaibika kaka so mawaziri vivuli wamefanya kazi zao vizur.kabisa.huo ni mfano mmoja bt iko mingi
 
Hii inaonesha ni jinsi gani huuelewi mfumo wa utendaji na uhusiano wa kiutendaji wa mawaziri vivuli!
 
Back
Top Bottom