Katiba ndiyo chanzo cha kuwa na baraza la mawaziri wabovu

mlaizer

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
233
41
Wabunge wetu wengi hasa wa ccm wamepata ubunge baada ya kutoa rushwa(hiki ni kigezo cha kutokuwa muadilifu).Kwa mujibu wa katiba ya JMT(sikumbuki kifungu,wanasheria mtasaidia),waziri lazima awe mbunge.Hali hii inamfanya rais awateue mawaziri ktk wabunge ambao wengi sio waadilifu of which probability ya kuwateua wabovu ni kubwa.
Mimi nashauru hiki kipengele tukibadilishe ili impe rais nafasi ya kuteua hata wale ambao sio wabunge,mimi ninaamini wapo wengi wenye uwezo na ni waadilifu ambao hawajagombea ubunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom