Makongoro mahanga na uwaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro mahanga na uwaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by A2 P, Apr 27, 2012.

 1. A2 P

  A2 P Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hukumu ya kesi ya makongoro ni tarehe 2/ 5. Na kuna dalili za kupigwa chini. Je jk atamrudisha au atakuwa amesoma alama za nyakati hivyo hatamrudisha ili nkuepuka fedheha? Nawasilisha
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  hivi unadhani anazo subilia....
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nadhani JK ataliona hilo. Ningekuwa mimi ningempiga chini.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,807
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Makongoro anarudi kufundisha kule Chamazi
   
 5. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tusubiri wadau mahakama yaweza fanya chochote
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,642
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona kama umeshafahamu matokeo ya hukumu?hii kesi inaonyesha wazi jamaa atatenguliwa?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa mahakama zetu zinatoa hukumu kwa maelekezo ya Jk atakuwa keshawasiliana na Jaji, atakuwa ana majibu ya hukumu.

   
 8. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  what is this
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,807
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Hali si nzuri na mwegemeo wake serikalini pia unayumba.
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ninge waomba tu msiwe na matumaini kama nyie ndo mahakimu.
  Unaweza kufa kimya kimya kwa pressure na tusione post zako hapa
  baada ya kuambiwa Mahanga alishinda katika uchaguzi huru na haki.

  Hakuna hakumu ya haki dunia hii.
   
 11. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi nikiwa Mkazi na Mpiga kura wa Jimbo la Segerea, habari ambazo nimezipata na hata wapenzi wa Makongoro wamekuwa wakijinadi nazo ni kuwa Makongororo ameshamuweka kati Jaji wa ile kesi yake. Nilipofuatilia kuuliza kumuweka kati Jaji kuna maanisha nini mtu mmoja alinitonya kwamba tayari Makongoro amempa Jaji kitita cha Shilingi Millioni thelathini na tano (Tsh35,000,000/=) ili kuhakikisha anashinda. Kama amuhamini subirini tarehe 02/05/2012!
   
 12. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,686
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  km mnadhan atapigwa chini sahauni zaid atapata promotion atakuwa full minister mana amekuwa NW toka JK alipokamata usukani anaamin sasa anauzoefu!
   
 13. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili lijamaa kwa kutoa mlungula halijambo, alinunua ubunge toka wakati wa nominations kwa kutembeza hela, wakati wa uchaguzi alimwaga fedha nyingi tena zilizotoka kwa Rostam. Aombe mungu tu maana uchaguzi ukirudiwa Makongoro atakuwa ni historia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tusubiri tarehe 2/5 lolote laweza kutokea,labda jk atataka kuonyesha yuko fair baada ya lafu ya lema
   
Loading...