VIDEO: Baadhi ya waZanzibar wapinga muungano, baadhi wako tayari kujitoa muhanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO: Baadhi ya waZanzibar wapinga muungano, baadhi wako tayari kujitoa muhanga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Apr 25, 2012.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,108
  Trophy Points: 280
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hawana mpya hao si waende wakajiunge na alshabab?

  wanang'ang'ana na zinzibar utafikiri kwao hapo kumbe asili yao ni pemba msumbiji
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Si wa bara tunanufaika vp na huu muungano?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  walilazimishwa? Si wajitoe tu
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  aisiiii nimesikiliza hii kitu hawa watu hawataki muungano!! ni matusi na vitisho tu... hivi kwanu kuna manufaa gani ya Tanganyika kungángánia huu muungano? kwa nn wasiwape hiyo kura ya maoni wajitenge...? hofu ni nn hasa tunaogopa? wanatutukana... wanasema hovyo na kila aina ya maneno mabaya!! ifike wakati tuseme basi... hakuna tupatacho toka zanzibar...sidhani kama kuna umuhimu kuwangángánia
   
 6. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Upo Sawa Kabisa Mkuu.
   
 7. African American

  African American Senior Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kura ya maoni wala nini. Hatuwezi kurusu wapuuzi wavunje muungano ili watuletee ugaidi.
   
 8. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  vipi hayo mabomu wakija kuanza kuyatega tanganyika ili kushinikiza kuvunjika muungano? mkuu umepata nafasi ya kusikiliza mihadhara yao mingi? wananchi karibu wote wa zanzibar wanaupinga... viongozi wa zanzibar nadhani ndo wanaungángánia, na sijui kwa nn, nadhani ni kwa hofu ya vingozi wa tanganyika..... wananchi wanazungumzia mambo kama ya palestina, kujitoa muhanga... wanajiona hawapo huru na wanahimizana kupigana juu ya hili, ikiwezekana waingie barabarani kupigania kuvunja muungano...ipo siku watafanya ya ajabu
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hawana ujanja wa kujilipua az palestine
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ebwana kumbe zanzibar kuna mambo yanaendela tatizo tu mambo hayo hayatangazwi,jamani zanzibar kunakitu kinaendelea,ukitaka kuelewa hayo sikiliza hiyo VIDEO,hawa jamaa wanaonekana wamechoka kabisaaaaaaaaaaa

  eeeeeh mungu tusaidie,tuepushe na haya yanayotaka kutokea,kama ni ndoa basi ivunjike kwa amani tu jamani
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  brief me,am uzing m0bitel mdau
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,108
  Trophy Points: 280
  ..inaelekea vyama vya siasa viko out of touch na matamanio ya wananchi wa Zanzibar.

  ..CCM inazungumzia serikali 2, wakati vyama vya upinzani vinazungumzia serikali 3.

  ..wananchi hawataki kabisa kusikia habari ya muungano.

  ..kuepusha umwagaji DAMU bora muungano uvunjwe.

  NB:

  ..but how did we get here?

  ..viongozi walikuwa wapi mpaka wananchi wamewaacha kiasi hiki??
   
 13. y

  yaya JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waswahili husema, mtoto akililia wembe, mpe.
  Wao walitakiwa wawe wa kwanza kuukumbatia muungano. Ndio wanaofaidika na muungano huu kuliko bara.

  Wangeachwa walau miaka mitano nje ya muungano waone watakavyojisambaratisha wenyewe kwa wenyewe.
  Maana licha ya Unguja na Pemba, hata vijisiwa vidogo vidogo vya huko kwao vitajitangazia uhuru na kuwa na marais wao, kama ambavyo alipata kusema Baba wa Taifa, hayati Nyerere kwamba ukishaanza dhambi ya ubaguzi haishi hadi ikumalize.
  Hao wanaojiita masheikh wanawaongopea. Alipata kusema mwanafalsafa mmoja kwamba "a little knowledge in a variety of subjects makes any fool wise in the midst of fools".
  Waangalie wasiingie mtegoni wakajuta baadaye.
   
 14. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,860
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  Sie bara ndo tunawang'ang'ania, sioni faida ya muungano au ndo hirizi ya Chama Cha Magamba!
   
 15. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sababu za kudumisha muungano huo kwakweli mimi naweza kusema zinatokana na mafundisho ya Mwalimu. Hakuna sababu nyine zaidi ya hapo. Ndio maana sasa hivi hakuna mtetezi wa muungano mwenye hoja na mawazo yenye nguvu na mapya. Si kutoka Z-bara wala Z-bar, pote kimya..

  Kwa hiyo kama sababu ya kuhifadhi muungano ni issue ya kumuenzi baba wa taifa hilo halipo sasa hivi, hakuna anayemuenzi Mwalimu. Watu walishamgeuka zamani. Waliuwa ujamaa wake, waliuwa Azimio la Arusha, wameuwa mshikamano, wameuwa uzalendo, wameuwa viwanda, wameuza ardhi, wameuza nyumba za serikali ... sasa nini kinachozuwia kuua muungano pia? Tuachane ili kila mtu achukuwe hamsini zake... tukikumbukana huko baadae tunaweza kuzungumza tena na kurudiana.

  Lakini pia, mimi nakumbuka niliwahi kumsikia Mwalimu akisema kuwa "... kwanini tuna haraka ya kubadili mambo na sisi bado tupo hai?" Kisha akasema "...kwa nini msingoje tukifa? "

  Kama masikio yangu yalimsikia vizuri basi hata yeye alikwisha tayarisha hati ya talaka. Yeye pia alikuwa na mashaka juu ya future ya Muungano huu. Na kwa mtizamo huo, naamini si dhambi kuruhusu ndoa hiyo ivunjike rasmi.

  Lakini tusisahau kuwa: Muungano ukivunjika leo, Tanganyika hatuna rais. Ili kumpata rais Tanganyika itabidi tuingie kwenye uchaguzi sasa hivi. Kikwete ni kama Gorbachev wa USSR, Urusi iliposambaratika Gorbachev alipoteza nchi ya kutawala. Hivyo na Kikwete anajuwa kuwa yeye ni rais wa JM Tanzania na si wa Tanganyika. Zanzibar ikijitenga itabaki na rais wao lakini sisi huku tutalazimika kutafuta rais wa nchi ya Tanganyika. Sasa Kikwete yupo tayari kwa hilo????
   
 16. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kelele zote hizi ni kwa sababu waTanganyika hatuja piga kelele za kuukataa muungano. Kama nasi tutapiga kelele za kuukataa kwa dhati, na wakaanza kuona madhara yake (mfano wapemba walijazana Kariakoo na Tanga wanaondoka), wataufyata. Nadhani wana ndoto za waarabu kuja kutoka Dubai kuwasaidi. Hii haipo kwenye dunia ya sasa.
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ukiangalia video hiyo iliyotolewa tarehe 18 mwezi huu,wananchi wa zanzibar kwa moyo mmoja hawataki muungano tena bila hata kumung'unya maneno na wengine vijana wamefika mbari sana kwa kusema eti ni bora kanumba kuliko muungano mmmh kazi ipo

  na majina wanayotuita huko mbona utacheka
   
 18. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 19. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NA WAZANZIBARI NA WAO VILE VILE HAWATUPENDI KAMA TULIVYOKUWA SISI WATANGANYIKA NA WAO HAWATUPENDI SIJUI NINI KINACHOWAFANYA VIONGOZI WA TANGANYIKA KUJIPENDEKEZA KWA VIONGOZI WA ZANZIBARI:eek:hwell:

  Angalia ambavyo Wa Zanzibari walivyobadilisha hali ya hewa huko Zanzibar kwa kutaka kujitoa katika muungano na Tanganyika:shut-mouth: WANAFIKI WAKUBWA NYIE BAADA YA KUPIGANIA KULIRUDISHATAIFA LETU LA TANGANYIKA
  NDIO KWANZA TUNAZIDI KUZINGULIWA NA MAFISADI HUKU BARA:mad2:
  [​IMG]

  WANAHARAKATI WAKIWA NJE YA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
  [​IMG]
  WAZANZIBAR WAKIWA KATIKA MKUTANO WA KATIBA NA KUHUSU MUUNGANO HUKO KATIKA MKOA WA MAKUNDUCHI ZANZIBAR
  [​IMG]
  WAZANZIBAR WAKIWA KATIKA MKUTANO WA KATIBA NA KUHUSU MUUNGANO HUKO MJINI MAGHARIB ZANZIBAR
  [​IMG]

  WAZANZIBAR WAKIWA KATIKA MKUTANO WA KATIBA NA KUHUSU MUUNGANO HUKO KATIKA MKOA WA KASKAZINI ZANZIBAR
  [​IMG]
   
 20. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Achana na wazee wa ubwabwa.
   
Loading...