Mabadiliko ya baraza la mawaziri, jk kuitisha bunge la dharura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya baraza la mawaziri, jk kuitisha bunge la dharura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnwele, Apr 27, 2012.

 1. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kufuatia kile kinachoelezwa kwamba CCM imeridhia mpango wa rais wa kulirekebisha baraza lake, kuna kila dalili kwamba iwapo atalivunja basi ni wazi lazima ataitisha bunge la dharura. Hata hivyo jambo pekee watanzania wanalopaswa kujifunza kutoka na kadhia hii ni kwamba JK kuita CC yake na kutoa maamuzi hayo ni kujaribu kudaganya umma na ku-maintain status quo! Ni kwamba swala hili limeletwa ili kuwapumbaza wananchi kwamba rais hakushinikizwa bali kafanya mabadiliko kutokana na ushauri aliopewa na taasis kubwa katika chama chake.

  Itakumbukwa kwamba wakati wa mgomo wa madaktari ( ule wa pili) wadau wengi walielezea kwamba kamwe raisi hawezi fanya maamuzi kwa shinikizo. Hata katika swala hili, tumeshuhudia shinikizo toka sehemu mbalimbali hadi kwa wananchi wa kada ya chini. Tafsiri ni kwamba endapo rais angefanya mabadiliko bila kupata muegamio wowote basi wale wanaosema raisi hawezi kufanya maamuz kwa shinikizo wasingekuwa na la kusema na heshima ingepungua. Hata hivyo ukweli unabaki kuwa RAIS KARIDHIA MABADILIKO KWA SHINIKOZO LA WATANZANIA.
  Wakati tunatafakari haya, ni vizuri kujiuliza maswali haya mawili?

  1: Je rais atafanya total reshuffle?

  2 Au Je ni mabadiliko madogo ambayo hayatamfanya kum-denounce Waziri Mkuu?

  Majibu ya maswali haya ndi yatakayo determine uitishwaji wa Bunge la Dharura au lah!
   
 2. Babjaj

  Babjaj Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  :smile-big: SASA LIPI ZURI KWAKO :A S angel:
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  namtakia mabadiliko mema, vichwa vipya vijiandae kula cake ya nchi....
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hizi speculation hazitufikishi kokote. kwa nini tuandikie mate?
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Haya ni matokeo ya kazi nzuri ya Zitto. Without pressure from Zitto hata hii hatua ya leo isingefikiwa
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Tetesi au maoni yako?
   
 7. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  safari bado ni ndefu sana. Watanzania lazima waue kuwa hata kama baraza la mawaziri litabadirika, KAMA HAKUTAKUWA NA USIMAMIZI ITAKUWA KAZI BURE.
   
 8. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,928
  Likes Received: 1,856
  Trophy Points: 280
  hata kama ni kweli
  kwan kuna ubaya gan akiongea na cc ya chama chake?
  Lipi zuri kwako?
  Actions are but intention...!!
   
 9. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Siyo Zitto na JK mwenyewe ndo kamtuma Zitto. CCM imeogopa moto anaowasha Lema. wao wanavuna raslimali za Taifa Lema anavuna wana CCM. Bado kidogo mtaji wa CCM unaisha wanabaki mufilisi then Tunaanza moja na miaka yote iliyopita tangu kupata uhuru tunaifuta tunaanza moja.
   
 10. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli Zitto anastahili sifa sio Nape wala Jk.
   
 11. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  TBC saa mbili usiku huu imethibitisha hayo. Si tetesi tena.
   
 12. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Jk anawabadilishia chupa ya Mvinyo,but kilevi kilekile,jiandaeni kupombeka tena!
   
 13. k

  kadidu Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu hapo umelenga,ni ukweli usio na shaka.kwa rais kuvunja baraza mara kwa mara ni kuthibisha kukusa kwake umakini au kifupi kushindwa kazi
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Iwe ameshinikizwa na watanzania ama na chama chake au vipi lakini kwa kifupi ni kwamba Rais ni msikivu. Watanzania wameonyesha kukerwa kwao na utendaji wa mawaziri na Rais ameliona hilo na analifanyia kazi. Hii ni dalili nzuri ya kuwasikiliza wenye nchi.

  Hapa inaonekana Rais atalivunja Baraza lote la Mawaziri na kuliunda upya. Si ajabu kweli akaitisha bunge la dharura ili kumpata waziri mkuu mpya. Hata kama atakuwa huyo huyo lakini akishavunja baraza inaanza upya na itabidi apitishwe na Bunge. Hakika hapa naona bunge la dharura wiki ijayo.
   
 15. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kurekebisha baraza la mawaziri hadi CC ya dharura! Naamini huu ni mpango mahususi wa kumtema Pinda rasmi. Nasubiri kukosolewa na matokeo ya hii 'reshuffle'.
   
 16. a

  afwe JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160


  Mhesimiwa ni Kilaza hajiamini. anatafuta pa kuegeshea lawama kwa marafiki watakaotoswa. Tangu lini kamati kuu ikaitishaw kushiriki katika kuunda baraza la mawaziri!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tume ya katiba haya mambo yapo for public consumption wala si tetesi. JK amewasikiliza Watanzania na amerudi kuomba ridhaa ya Chama ili afumue Baraza na kuliunda upya. Si baraza pekee hata watendaji wa serikali waliotajwa kwenye report nao watavunjwa na kuundwa upya. Hii ni re engeneering ya Serikali. Kusema kweli Rais akiunda baraza jipya na likashindwa kufanya kazi Watanzania hatutamuelewa manake kama tatizo ni mawaziri na ameishawabadilisha wasipotenda sasa hatutasita kusema yeye ndiye hatendi. Ni imani yangu kwamba ataunda baraza zuri ambalo litatenda kazi hadi kumfikisha 2015 na aondoke akiwa anacheka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Masikini Rais JK unatia huruma!!!!. Tutakukumbuka sana kwa uwezo wako mkubwa wa sanaa, hakikisha unajiunga Kaole baada ya kipindi chako hiki. Naamini unastahili kuwa kiongozi wa Kaole Sanaa Group.
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ameridhia ni kupoza upepo, si ni wa kupita, kufanya mabadiliko ni mpaka bunge litakapo kuwepo, hivyo timing yake ipo right, tutakuwa tumerejea toka kwa Ba Kim Moon
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo hata mimi naona ni kweli. Kuna siku nilikuwa Dodoma kama miezi miwili iliyopita nikakutana na mzee mmoja akasema PM ataondoka sikumuamini lakini kuanzia mgomo wa madaktari na vuguvugu la juzi bungeni naona kama yanatimia. Pale juzi PM aliposema ataongelea mambo yaliyosemwa na wabunge wa CCM wakati wa kufunga bunge lakini akashindwa kusema chochote nikaona hapa kuna jambo. Inaonekana alikanywa.
   
Loading...