Ufisadi wa Prof. Maghembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Prof. Maghembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkibunga, Apr 25, 2012.

 1. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nimepenyezewa habari hii toka wilaya ya mwanga kilimanjaro kuwa pamoja na mh. prof.maghembe kutakiwa ajiuzuru kwa ubadilifu wa pesa katika wizara yake, na kuwalinda watendaji wabovu amejiandaa kesho kwasafirisha walimu wa shule za msingi za wilaya hiyo huko serikali ikibeba sehemu ya safari hiyo ya kitalii mbuga ya tarangire arusha walimu wanaohusika mpaka sasa ni karibia 733 kwa kutumia magari aina ya coaster na mabasi aina ya fuso safari inaratibiwa na diwani enea mrutu ambapo anatumia magari yake yote na mengine naambiwa mji huo mdogo sasa hivi ni heka heka tupu za safari hiyo hapo kesho 26-4-2012

  habari zinadai kuwa kila shule imeombwa kuchangia shs 10,000/ pesa za serikali hizo na halmashauuri inachangia na nyingine mbunge maghembe analipa ingawa haijabainika kama kweli atatoa mfukoni mwake au serikali ndiyo italipia kwani walimu hao wameambiwa maghembe ndo anawasafirisha ingawa kuna tetesi kuwa halmashauri ndiyo inalipa kwani watumishi wa halmashauri idara ya elimu ndo waratibu wa safari hiyo tunajiuliza maghembe ametoa wapi pesa za kusafirisha walimu 733 kama sio za kifisadi pili iweje halmashauri iratibu safari binafsi za mbunge kisa anawapongeza walimu kwa kufaulisha na kuwa kwanza hali shuli kadhaa za wilaya hii zimefutiwa matokeo kwa udanganyifu ina maana mh. aliwatuma wachakachue mtihani.

  tunachoomba idara ya usalama wa taifa wapitie suala hili, CAG ukija kukagua dai matumizi hayo ila bado tunayafuatilia watatumbua ngapi tutakujuvya. WAZIRI TAMISEMI fisadi mwenzako ndo hivyo anavyo tumbua pesa za halmashauri hii kupitia idara ya elimu kisa aliwahi kuwa waziri wa elimu na sasa idara ya kilimo nayo wanaimba wimbo wa maghembe.

  RAIS ukiweza zuia safari hii uokoe fedha za umma kwani shule zote za msingi zimelazimishwa kuchangia, idara ya elimu imeamriwa kuchangia, mkurugenzi naye amebanwa atoe pesa za umma kwa ajili ya safari binafsi kwani ina tija gani hali serikali haina pesa na tumeombwa kuwa makini katika kutumia kidogo kilichopo.

  sasa habari hii ikinaswa na wapinzani wakiwalipua ccm tumlaumu nani.

  NAOMBA KUWASILISHA
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ufisadi mkubwa!
   
 3. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gharama ya gari moja coaster nimeambiwa ni 600,000 fuso basi 750,000/ coaster moja inabeba walimu 30 na fuso basi 45 kwa hiyo usafiri tu kwa coaster 30x600,000 = 18m na fuso basi 4x750,00= 3m na jumla ni 21m.

  Bado chakula na posho mwaka jana walipelekwa mbuga ya mkomazi ilikuwa kuwashukuru kwa kumuunga mkono kwenye uchaguzi walimu hao walilipwa posho 30,000/=
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hizi gharama ni kubwa. Waalimu wanaenda kusherehekea miaka 48 ya Muungano. Wacha nao wafaidi siyo wafundishe tu kuhusu simba wakati hawajawahi kumuona huyo simba mwenyewe. Halmashauri watajibu pindu CAG ama Mrema atakapowatembelea.
   
 5. K

  KONGOTO Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha ale matunda ya elimu yake sisi matunda yetu tunajua kutoa maneno makali na vitendo kupitia kwenye mitandao..kwanini maandamano yanaogopwana na watanzania wengi au wanaogopa kuumia au wanaogopa kufa???
   
 6. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sina imani na usalama wa taifa(TISS) wameshindwa kusimamia mambo mengi ya msingi, mambo mengi ya ubadhirifu na ufisadi yamefanyika na yanaendelea kufanyika with their connivance, wanajali matumbo yao na hawana uzalendo na taifa letu, wanachojali sana ni usalama wa viongozi walafi kwa kuwa wamegeuzwa kuwa vibaraka wao! TISS is a total failure,shame on it, it should be dissolved completely and establish a new patriotic security service.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Nani mkuu wa msafara?
   
 8. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ndio akili za maprofesa wetu hao :Magembe anasafirisha Maembe yake.... mbona ameanza kuhonga mapema hivi au anafikiria akiachishwa uwaziri na ubunge nao utanyofoka/.?
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  kusoma hujuhi?

  safari inaratibiwa na diwani enea mrutu
   
 10. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Zaidi ya magari 30 yanapita hapa mjini moshi saa izi, wilaya nzima ya mwanga walimu wote walikuwa wanatanua katika mbuga za wanyama za serengeti/ ngorongoro kwa hisani ya profesa maghembe, isitoshe wote kila mmoja kapewa pikipiki, walimu hawa wamesikika wakisema hakuna kama maghembe, na ikiwa kuna uchaguzi leo au kesho, hakuna wa kumwondoa huyu!
   
 11. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hiyo pesa katoa mfukoni mwake au serikalini. Kama mfukoni mwake ni mshahara gani au ndo ufisadi na kama ni serikali ni katika budget gani? Je hii ilikuwa zawadi au ndo takrima ya CCM?
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED kama kweli walimu wamesema maneno hayo basi hii inatia shaka uwezo wa akili wa Walimu hao!!!... Na hao ndio tunategemea wawafundishe watoto wetu kwa upeo huo wa akili zao. Ndio maana huko Kwenye Jimbo la Maghembe wanazalisha products mbovu zinazoenda Secondary, na hiyo yote inatokana na umbumbumbu wa Walimu wao hasa hao waliopewa tripu na Huyo waziri fisadi.... Ila yana mwisho haya.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  "ubadilifu wa pesa"? ni wapi huko alikobadilisha hizo pesa?
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa kinachowashangaza hapo ni nini??!! kwani hamjawahi kusikia kua kuna viongozi/mawaziri fisadi?!! jamaani!!
   
 15. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ptuuuuuu!!!
   
 16. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Msisahau kuwa wabunge walipewa milioni nyingi za kiinua mgongo baada ya kumaliza ngwe yao ya 2005-2010; walipoanza ngwe mpya ya 2010-2015 pia walipewa miliioni 90!! Sasa kwa hesabu za haraka haraka Profesa Magembe anaweza kuwa na cash sio chini ya milioni 200 ambazo nadhani zingeweza kutosha kufadhili hiyo safari ya waalimu!!
   
 17. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What's the matter with you, dude?
   
 18. K-killer

  K-killer Senior Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Babu huyo jamaa watu wanamchukia mbaya,na tutamuondoa 2015 hakai jimboni.Last uchaguzi alifanya hila akaiba kura dhidi ya bwana tadayo(mwanasheria),ila sasa ivi ataishia patupu maana kuna jembe moja linakuja ambalo waziri mkuu wa zamani Bwn.Cleopa Msuya analikubali sana hilo jembe.

  Jembe hilo lishaanza kujipanga taratibu na kimya kimya maana linamachungu na wananchi wake na limekua likisaidia miradi mbali mbali yakimaendeleo na kujenga mashule kwakutumia fedha binafsi.Hakika naliombea maisha marefu jembe hili kwani naimani kwakupitia chama chochote likipata ubunge nia yake ni kusaidia wananchi!MUNGU AMPE NGUVU ZAIDI
   
 19. K-killer

  K-killer Senior Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Babu huyo jamaa watu wanamchukia mbaya,na tutamuondoa 2015 hakai jimboni.Last uchaguzi alifanya hila akaiba kura dhidi ya bwana tadayo(mwanasheria),ila sasa ivi ataishia patupu maana kuna jembe moja linakuja ambalo waziri mkuu wa zamani Bwn.Cleopa Msuya analikubali sana hilo jembe.

  Jembe hilo lishaanza kujipanga taratibu na kimya kimya maana linamachungu na wananchi wake na limekua likisaidia miradi mbali mbali yakimaendeleo na kujenga mashule kwakutumia fedha binafsi.Hakika naliombea maisha marefu jembe hili kwani naimani kwakupitia chama chochote likipata ubunge nia yake ni kusaidia wananchi!MUNGU AMPE NGUVU ZAIDI
   
 20. K-killer

  K-killer Senior Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Babu huyo jamaa watu wanamchukia mbaya,na tutamuondoa 2015 hakai jimboni.Last uchaguzi alifanya hila akaiba kura dhidi ya bwana tadayo(mwanasheria),ila sasa ivi ataishia patupu maana kuna jembe moja linakuja ambalo waziri mkuu wa zamani Bwn.Cleopa Msuya analikubali sana hilo jembe.

  Jembe hilo lishaanza kujipanga taratibu na kimya kimya maana linamachungu na wananchi wake na limekua likisaidia miradi mbali mbali yakimaendeleo na kujenga mashule kwakutumia fedha binafsi.Hakika naliombea maisha marefu jembe hili kwani naimani kwakupitia chama chochote likipata ubunge nia yake ni kusaidia wananchi!MUNGU AMPE NGUVU ZAIDI
   
Loading...