CC ya CHADEMA nayo imefanya Kikao leo, nini kinajiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CC ya CHADEMA nayo imefanya Kikao leo, nini kinajiri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by measkron, Apr 27, 2012.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Wana bodi kuna Kikao cha CC ya CHADEMA Leo jijini Dar es salaam. Nani anayejua kinachojiri katika Kikao hicho atujuze? Tumesikia rais kuvunja baraza la
  Mawaziri baada ya kushauriwa na CC ya CCM ambayo nayo ilikutana leo, je maandamano ya kutokuwa
  na imani na waziri mkuu na kuwataka mawaziri kujiuzulu bado yatakuwepo?
   
 2. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  huu ndio ubaya wa chama kukosa sera maalumu...sasa baada ya rais kulekebisha baraza sijui watapiga kelele gani hawa magwanda..
   
 3. s

  salisalum JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke.
   
 4. s

  salisalum JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Una hakika na unachokisema?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wao wavunje baraza la mawaziri vivuli ambao walikuwa hawana macho ya kuona madudu yanayofanyika mpaka Utoh alipofanya ukaguzi.
   
 6. mhagama1

  mhagama1 Senior Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hakuna chama makini na chenye uwezo wa kufuta hisia za watu wenye busara kama mimi zaidi ya chadema hakuna kingine wa wengine ni mafisadi tu hawana jipya na kama wewe ni mmoja wapo basi utaipata fresh pale tu tutakapofika ikulu mwaka 2015.
   
 7. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kama sijakosea kikao kesho
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,076
  Likes Received: 10,432
  Trophy Points: 280
  Nafikiri watatoa tathmini ya wale wajumbe wa tume ya katiba kwasababu walisema wataangalia wasifu wa kila mjumbe...
  So nimambo mengi yatakuwa yamejadiliwa ikiwemo la serikali legelege ya jk.
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,076
  Likes Received: 10,432
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Zitto na Lyatonga walikuwa wanafanya futile cylce au umesahau kuwa zito ndo kafanya mpaka Jk kuvunja barazs mawaziri...!
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naona kiherehere chote kimeisha mwaka huu.
   
 11. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Cc ya cdm imejadiri na kukataa ombi la edo lowasa kujinga chadema.
   
 12. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sijawahi ona kunji kama wewe na sitegemei kukutana na kilaza kama wewe
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,742
  Likes Received: 6,017
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe ni KIMEO.
   
 14. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  viongozi wa ccm hawana tofauti na mnyama pono kwani hata akiwa safarini hujisahau kama anatembea na kuuchapa usingizi.mlianza hivi hivi kwa jairo mlipo ishia hatupajui labda mpaka cdm iwashtue tena ndio mshtuke kuwa mnasafari ndefu bado.
   
 15. gody

  gody JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyu naye ametokea wapi?
   
 16. gody

  gody JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jf wako wapi yaaani ningekuwa mimi ma thread mengine kama haya ningekuwa nayaweka kapun!! Aaraaa!
  nimeshikwa na kichom ntarud baadae mda kama huu!!
  bora niende nikacheke kwenye jokes!
   
 17. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  katika lugha ya kabila langu neno ribosome maana yake ni pumba. so you are pumba
   
 18. Marcopolo

  Marcopolo Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umefikiria wewe mwenyewe ndio ukaandika huu upuuzi au umefikirishwa?
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni mjumbe kaletwa na nape
   
 20. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  chadema wanapanga kuleta vita,tuwe makini jamani.
   
Loading...