Rais akimtoa waziri mkuu ni lazima anayemteua athibitishwe na bunge?

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
raisi akiamua kumbadili wazir mkuu ni lazima amteue then athibitishwe na bunge ndo liundwe baraza jipya au iko tofauti naomba mnijuze utaratibu
 
Kama sijakosea, Raisi anateua jina la waziri mkuu ambae ni Mbunge, halfu wabunge watachagua pendekezo hilo la raisi. kama wabunge watalikataa hilo jin basi raisi atapendekeza jina jingine.
Niko tayali kusahihishwa kama nimekosea
 
watapitisha jina la PM ikiwa wabunge hawatapitisha jina Rais atateua mwingine
 
kwa maana nyingin hatuwez kuita mabadiliko ya wizara inabidi kuvunja baraza zima?
 
Back
Top Bottom