Je, Tuhuma za Nundu kwa Mfutakamba Takukuru mmezifanyia kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Tuhuma za Nundu kwa Mfutakamba Takukuru mmezifanyia kazi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magistergtz, Apr 28, 2012.

 1. magistergtz

  magistergtz JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati joto la shinikizo za wabunge kutaka kuwajibishwa kwa mawazili wezi na wazembe, Omar Nundu, waziri wa usafirishaji na uchukuzi alijitokeza na kumtuhum live naibu wake, Athumani Mvutakamba kuwa alihongwa na wachina.

  Takukuru toeni taharifa mmeifanyiaje kazi taharifa hizi?
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Nundu au Mponda?uliza kwanza uskurupuke
   
 3. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jipange vizuri siyo unaanzisha mada tu ili uonekane nawe ni Great Thinker. Dr Mponda ni Waziri wa Afya na hajamtolea naibu wake shutuma yeyote. Waziri wa Usafirishaji ni Omar Nundu
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mtoa hoja umekosea jini, ni Nundu. But all in all swali lako ni la msingi. TAKURURU sijawahi ona umuhimu wao hawa, full Magamba..
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,861
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Eh hii nayo kali! Uko darasa la ngapi wewe? yaani hapo uraia ni sifuri. Hivi siku hizi uraia mnafundishwaje nyie? Enzi zile darasa la 5 tu tulikuwa tunawafahamu mawaziri wote na wizara zao. Hili toyoyo linatuambia Dr. Mponda ni wa uchukuzi nyamb..f!
   
 6. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Takukuru yetu ndio cordinator/moderator wa ufisadi wote hapa Tz, Sio kweli kwamba hawaoni madudu yote haya kwa ukubwa wake na uwingi wake bali wao wakiona mkuu amezidisha basi humfuata na kumwambia apunguze, eg kwa jamaa yetu wa pale makao makuu...."Shimbo" etc..

  Kwa ujumla sie wanainchi hivi sasa ndio tunatakiwa tuwe Takukuru ili tupate kuichunguza Takukuru yao Magamba tukianzia na Hosea, Kumbuka kashifa ya Rada/Richmond jinsi Hosea mishipa ya shingo ilivyomtoka kutetea watuhumiwa,
   
Loading...