Katiba mpya iainishe mafisadi wanyongwe

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,318
Itakuwa jambo la busara na la hekima kama katiba mpya itaweka misumeno mikali ya kuwachinja mafisadi wote na wahujumu wa nchi hii wanaotafuna kodi za watanzania katika viti vyao vya kuzunguka.Wanyongwe mpaka wafe hapo mafisadi watapungua na tutawasikia kwenye bomba tu.
 
"Ihainishe" ndio nini? Halafu kaa ujue kuwa Sheria zipo kwa ajili ya kulinda inerest za ruling class na sidhani kama wanaweza kujitengenezea mtego ili wakanaswe kirahisi namna hiyo!
 
India: kuna kipindi watu waligoma nchi nzima kuishinikiza serikali, sheria mpya ya kunyonga mafisadi.(Mgomo huu ulianzishwa na mzee wa miaka 70, ukaratibiwa barabara na vijana wa nchi nzima)

Hatimaye serikali iliipeleka mswada bungeni, ili wabunge waipitishe sheria ya kunyonga mafisadi.

Naamini Tanzania na sisi tukijipanga. Tunaweza kuilazimisha serikali, kupitisha sheria hii.

My take: kuwawajibisha viongozi pekee haitoshi. Adhabu inapaswa ifuate. Hatutaki waende jela, uko watakaa miezi michache afu watatoka (mfano kesi ya Liyumba). Kunyongwa ndo big solution kwa mafisadi. Ili kesho, fisadi wengine waliobaki watie maji nywele zao.
 
Back
Top Bottom