Chekeche jipya la mawaziri lanunikia muda si mrefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chekeche jipya la mawaziri lanunikia muda si mrefu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chum Chang, Apr 26, 2012.

 1. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI?
  Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic


  1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
  2. Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
  4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
  5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa
  6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi
  7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu
  8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
  9. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri
  10. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii) - Kassim Majaliwa
  11. Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
  12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu
  13. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
  14. Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
  15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
  16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
  17. Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe
  18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
  19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
  20. Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
  21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
  22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
  23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
  24. Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
  25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
  26. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
  27. Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
  28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
  29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli
  30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
  31. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
  32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
  33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami
  34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
  35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
  36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo
  37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
  38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya
  39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
  40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
  41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
  42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
  43. Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
  44. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala
  45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
  46. Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
  47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
  48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
  49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
  50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwing
   
 2. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kumbe tuna mawaziri+ manaibu= 50!!! Lol Yarabi tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Hayo magari, mafuta, servive, allowance, etc. Aaaahaaaaaaaaaaaaaaaa, ndo maana kumbeeeeeeeeeeeeee
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ni upepo wa kisiasa mkuu (Nukuu ya 22-04-2012). Hakuna lolote jipya!!!
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  karibu robo ya wabunge wa ccm ni mawaziri. kazi kweli kweli sasa 2015 cdm ikiongeza idadi ya wabunge kufikia 160 inamaana wabunge wote wa ccm watakuwa mawaziri
   
 5. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimeshachoka hata kufikiria na kutarajia mapya manake bila 2015 hakuna jipya vyovyote atakavyoamua poa hata akiamua kumweka Irizi One poa bana.

  Kitanda chenye kunguni hata ubadilishe shuka kunguni watakuwepo tu
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Fukuza waote hao wezi wakunbwa labda Magufuli tu abaki
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Hili ni Genge la wezi, kundi haramu, kundi lililolaaniwa na shetani (na wala sio Mungu) limelaaniwa na lusifeli, shetani mkubwa. Liangamie kabisa popote lilipo
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  weengi mno jamani hamsini!
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Inaumiza kwa kweli unaweza ukajikuta unatukana mwenyewe.
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mawaziri hamsini wa nini ?.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe kunawatu bado wanafikiri ccm watachukua nchi 2015 pole sana.
   
 12. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hatari lakini usalama hamna

  Kwa hiyo tuuwache upulize

  Ili wayapitishe wanayoyataka
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tungeichagua CHADEMA tungelikuwa na mawaziri 14 tu!
   
 14. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu chum chang ni bora al shabab kuliko kundi la laana kumu hao,bora wafe na tusiomboloze.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mawaziri wengi ni wezi na nina ushahidi-Filikunjombe
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lavish cabinet!
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  wakati huo ccm itakuwa chama cha upinzani kama kwenye jiji la mwz au musoma mjini! Hawaunda serikali bali watakuwa wanapeleka matatizo ya wananchi serikalini kupitia bunge!
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa unavyosikia serikali inasema haina hela ulikuwa huelewi? hapo bado hawajasafirishwa kupelekwa nchi za nje au mikoani kutumia ndege accomodation transport na malaji!!!:rolleyez:
   
 19. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,571
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  my opinion, aache tuu maisha yaendelee kama yalivyo! wabongo watakapopata ubongo ndio abadili, kwa sasa muda bado! si mnasema ni genge la wezi, sasa amuweke mtu msafi ili amchafue?
   
 20. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  mkuu mungi sahihisha kidogo 'tugelinda kura vyema tungelikuwa na mawaziri 14 tu' kuchagua tulichagua ila hatukulinda kura!!!
   
Loading...