Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

vipi jamani hivi vitengo vyetu vya takukuru na usalama wataifa kushindwa kunusa harufu ya uhalifu ktk wizara zetu? kazi zao mbona ni kama hawapo na umuhimu wao haupo tena. mbona mkaguzi wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Neema Kishebuka, Dsm Kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iumewataka wabunge wa chama hicho kurudisha pesa zilizowekwa katika account za wabunge kwa ajili ya kuhamasisha...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Licha ya kuwa Balozi zetu zimetajwa kwamba ni miongoni mwa pori kubwa la ufisadi wa kodi zetu kulingana na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali1, natabiri Ndugu Bernard Membe...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa huu upelelezi unaofanywa na polisi utakuwaje? Polisi = CCM, sijui tutapata ukweli gani hapa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"Habari zinazoongelewa ktk maofisi husika baada ya kuvuja kutoka .............. zinasema mawaziri husika waliotajwa katka kashfa wizi wa mamilioni kua watachunguzwa na kufikishwa mahakamani then...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo hapa stand ya mabasi uaendayo mikoani (Dodoma) naona kuna mabasi mengine majina ya mabasi hayo kama majina ya vigogo flani tena yanafuatana kama 3 hadi 4 ya kampuni moja yakienda safari moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa, Mawaziri watakaofukuzwa kwa usifadi uliofanyaki katika wizara zao, ni maoni ya wananchi kwamba watafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo ili pia mawaziri watendewe haki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hali ya sasa ya kukubalika kwa kasi kwa CDM inatoa tafsiri nyingi kuhusu mustakabali wa baadaye. Wingi wa Wanachama ni ishara ya kujitokeza kwao kushiriki katika kugombea nafasi mbalimbali ndani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na mwamko mkubwa wa WATANGANYIKA kujitambua na kuzitambua haki zao na kujitoa mhanga kudai haki,tumeshuhudia wimbi kubwa la MAMLUKI wanaojiita WAPAMANAJi kumbe ni MAVUVUZElA tu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
FILIKUNJOMBE ANENA FILIKUNJOMBE ANENA Mbunge wa Ludewa (CCM) akizungumza katika mahojiano maalum ya NIPASHE Jumapili jijini Dar es Salaam juzi, Filikunjombe alisema tuhuma zinazowakabili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini…! Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Mimi si mjuzi wa mambo ya siasa ndo maana naomba kueleweshwa. Hawa wezi wahujumu uchumi waliotumia vibaya madaraka yao wakiwa kazini kwa hakika watanyofolewa uwaziri. Je ni sahihi wao kubaki...
0 Reactions
5 Replies
957 Views
ni dhairi sasa chadema imeko maa kisiasa,kuliko vyama vyote vya kisiasa sasa,uongozi wa chadema unata kiwa kuwa makini na viongozi wa amiaji kutoka chama kilichopo madarakani kuepuka kutulisha...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa kuwa Raisi JK anao uhuru wa kuchagua waziri toka chama cha upinzani (akitaka), na kwa kuwa serikali inaongozwa na sera za CCM chini ya mwamvuli wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam wanajamvi, Natumai sote tumeamka salama kwa uwezo wake Mola: Jumapili ya leo tutazungumzia suala zima la uwajibikaji Viongozi wetu kwa nini si suala la hiari? wageni Mh. Mrema Bw...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Uzoefu wa toka JK ameingia madarakani vijana waliobahatika kupewa uwaziri wamegeuka kuwa genge la majizi na wahujumu uchumi. Lau Masha, Wiliam Ngeleja, Ezekiel Maige, Cyril Chami, Adam Malima, na...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Christopher Nyenyembe UAMUZI wa Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuridhia ombi la Rais Jakaya Kikwete la kutaka kuwawajibisha na kuwafuta uwaziri, mawaziri wanaotuhumiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Josephat Isango SIAMINI, tena sitaki kusikia eti Rais Jakaya Kikwete amesikiliza kilio cha wabunge, vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…