Akihojiwa katika kipindi cha mahojiano na Channel Ten kuna mama mmoja kapiga simu toka Pangani ni mmama kamuuliza Nape maswali haya.
Ni kwanini CCM imekuwa chama cha watoto wa vigogo ukiwa mmoja...
Kumbe na Karumeni fisadi!
Rais mstaafu wa Zanzibar, AmaniAbeid Karume
Rais mstaafu wa Zanzibar, AmaniAbeid Karume, amekumbwa na kashfa akidaiwa kutoa amri ya kukodishwa kwa majengoya Mambo...
Jenerali Ulimwengu
236
25 Apr 2012
NCHI inapitia kipindi tete, kipindi ambacho kinashuhudia maswali mengi yakiruka kutoka kila upande huku kukiwa hakuna majibu yanayoeleweka. Halitakuwa kosa...
Hotuba ya rais mwisho wa mwezi hivi ilifia wapi? Je hana cha kusema kwa watanzania? Pamoja na kusuka baraza la mawaziri tungependa kusikia yeye kama rais anasemaje juu ya ripoti ya CAG. Au waanda...
Ikiwa mnataka kujiunga na Vuguvugu la Mabadiliko, na ikiwa kweli mnataka mabadiliko, wakati ndio huu.
- Msisubiri mpaka huko mliko mfukuzwe ndio mjiunge na M4C
- Msisubiri mpaka mje kutemwa...
Mon, Apr 30th, 2012
Tanzania | Mon,April, 30th 2012
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Freeman Mbowe
The Central Committee of the opposition party, Chama cha Demokrasia na...
Je kuwa na Baraza jipya la mawaziri ndio suluhisho la watakaochaguliwa kutokuwa wezi?Au ndio tunaahirisha tatizo? Maana isijekuwa 2013 mambo haya yanadirudia.
Kwa mawazo yangu nadhani mzizi wa...
Ibara hii ya Nane ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ndiyo msingi wa Falsafa ya CHADEMA ya "Nguvu ya Umma". Nguvu ya umma inayosimamiwa na CHADEMA si nguvu ya vurugu bali ni mkakati mahsusi...
Waziri wa zamani katkia SMZ Brg Gen Mstaafu amefariki dunia mchana wa leo ktk hosp ya jesh Lugalo!!
Nilikuwa hapo punde pata habari hizi, sijui alikuwa anasumbuliwa nanini mwanasiasa huyu mkongwe!
Nakumbuka mauaji ya mwenyekiti wa halmashauri na chama cha mapinduzi katika wilaya ya
Rungwe mkoani Mbeya Marehemu John Mwankenja, Kikwete aliagiza wahusika wakamatwe haraka na haikuchukua mda...
SAUTI ZA WABUNGE HAWA NI SAUTI ZA MUNGU
HUWEZI KUWA MASKINI KWA KUKATAA SERIKALI TATA
NA Gift Mongi
KAMA kweli wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, serikali sasa itaondoa pamba masikioni...
Akifungua kikao cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema wananchi watajadili Katiba kadiri...
Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten)
Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi...
Source Nipashe
Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.
Hii inatokana na Jk...
Bila kutafuna maneno, kweli Nape najua huwa unaongea kwa kusutwa roho hasa pale unapoutetea uongo kuwa ukweli!unalipwa kiasi gani ndani ya CHAMA? Unatetea mashahi gani ya Taifa hili?Kesho kutwa...
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, amekumbwa na kashfa akidaiwa kutoa amri ya kukodishwa kwa majengo ya Mambo Msiige bila kufuata...
Kura kumkataa Pinda kumbe ilimlenga Rais Kikwete
Filikunjombe: Angezungumza Zitto isingekuwa na nguvu
Makinda awashukia mawaziri wanaojisafisha nje ya Bunge
Rais Jakaya Kikwete...
Baadhi ya viongozi na hata wanachama wa kawaida wa upinzani wanapokosoa CCM wanakosoa zaidi watu na chama kama chama. Katika kikao cha Bunge kilichopita kwa mfano ni wachache sana ambao wamefanya...