Ni jambo lililonishangaza Kikwete kuitisha kikao cha Chama kwa ajili ya kujadili na kuomba ridhaa yao kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kwa hali ilivyo inaelekea hata yaliyotokea kwa akina...
SIAMINI, tena sitaki kusikia eti Rais Jakaya Kikwete amesikiliza kilio cha wabunge, vyama vya siasa, wananchi wa kawaida na wanaharakati kutaka mawaziri waliohusishwa na kashfa
kwenye ripoti ya...
Tofauti kati ya Rais wetu JK na viongozi wengi wa CCM,serikali na taasisi nyingine za serikali na umma wanatofautiana kwa majina matendo yao ni sawa ndiyo maana Rais JK alikua na kigugumizi kutoa...
Nauliza tu ili nipate kujua. Hivi PM akijiuzulu (au akiachishwa kazi) wakati Bunge halikutani inakuwa vipi? Kikao cha Bunge kitaitishwa ili kithibitishe PM Mpya?
Au nafasi ya PM itakaa wazi hadi...
Kwanza kabsa tulijijengea imani kwamba lile jimbo ni ngome ya CDM na hata CCM walikua wanatambua hivyo,pili kuna swala la koo za wakurya,tatu mawakala, CDM tuna tabia ya kuaminiana sana haraka...
Hongera Chadema kwa kuonesha njia ya uadilifu na uzalendo...
Hii ndio Hospitali mpya ya Manispaa ya Iringa ambayo mbunge Msigwa amekabidhi vitanda vya kisasa itaanza kutoa huduma jumatatu wiki...
Habari wana jf!
Ktk maandamano ya vijana wa ccm yaliofanyika hiz karibuni ambayo yalikuwa yakiipongeza serkali kutokana na kusikia kilio cha wananchi juu ya kubadili baadhi ya mawaziri...
Dr slaa amewahi kusema mara kadhaa kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ilichakachua matokeo ya uchaguzi mwaka 2010.
Kauli hii ilianza kujidhihirisha wazi pale tulipoanza kushuhudia mlolongo wa...
Ndugu zangu, wengi wetu tupo macho wazi kusubiri ni mabadiliko gani yatafanywa na mkulu, nawahakikishia hakuna jipya tusubiri mwaka 2015 panapo majaliwa. Watu makini hawapewi nafasi kwa kuwa...
Watanzania wenzangu napata shida sana kutambua kama serikali yetu ni PARTISAN au lah. Nasema hivi kwasababu ukitazama kwa makini utagundua kwamba Bunge, Mahakama na Serikali zote kwa pamoja...
Jamani wandugu, naombeni kufahamishwa juu ya maendeleo ya kiafya ya Mh. Highness Kiwia - Mbunge wa Ilemela (CHADEMA)!
Je, Mh. Kiwia anaendeleaje na je, ameshapelekwa India kwa matibabu zaidi? Au...
Habari kutoka Sumbawanga zinasema watu wana hasira na Mizengo Pinda baada ya kumuamuru msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kumtangaza jamaa fulani mjinga mjinga awe mbunge. Watu wanashangaa...
Ndugu zangu,
Kuna kisa cha mtego wa panya uliosababisha madhara hata kwa wasio panya.
Panya kwenye nyumba aliubaini mtego wa panya uliowekwa uvunguni mwa kitanda na mwenye nyumba.
Panya...
Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho. Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama...
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa
Jambo hili pia limekuwa...
wanajamvi,huu ni mwaka wa uchaguzi kwa chama tawala...maeneo ya mtukula mpakani mwa tz na uganda...gari la matangazo liinapita kuwaomba wanachama kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi...
Sijaliona hili kwenye news.
Pasco wa JF yuko wapi when u needed him?
Pasco uko wapi ushike bango kama ulilomshikia Dr. Slaa last time?
Vipi umepanda kwenye kaburi (na jeneza) ukitafuta wana ccm...
Mbunge Tundu Lissu akihutubia mkutano viwanja vya stendi ya zamani mjini Singida, tangu mahakama kuu impe ushindi dhidi ya kesi
Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wakiitikia kukunja ngumi juu kuonyesh...