Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ccm imeanza kucheza karata zake vizuri kuelekee mwaka 2015 ni dhairi mtu yoyote ambaye ccm itamsimamisha atakua lowassa na si mwingi kwanza amekishika chama,ana jina kubwa na anafahamika sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni chama kikubwa kisichokuwa na media zake. Kimekosa tv na redio sawa. Sasa hata gazeti na majarida? Mbinu ya kujieneza wanayotumia chadema ni ya mikutano na maandamano tu. Ni mbinu nzuri ila...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Demokrasia ina gharama hizi chaguzi ndogo zinatuumiza.
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Jamani ata nyie mnaamini kwamba JK alikua akifurahia swahiba zake mawaziri wakipondwa na kutakiwa wawajibishwe kipindi cha bunge eti wakati yeye yupo marekani, ivi ata Bunge alikua akilifatilia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu leo ndiyo kunatolew hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye anadai kuchakachuliwa katika...
55 Reactions
578 Replies
64K Views
Isije ikawa ushindi wa majimbo mawili (Sumbawanga na Singida) mmepewa ili mkianza kulalamika muambiwe mbona na kule mmeshinda!? Wenzenu wakawa wanashinda kwenye majimbo wanayotaka wabunge wake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Asalaam Aleykum Kwa yanayoendelea hivi sasa katika tasnia ya siasa nchini. Hamuoni kuwa imefika mahali Tume ya Uchaguzi ivunjwe na majukumu yake yakabidhiwe kwa Mahakama za Eneo husika? Ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nini kifanyike kama wezi/wasio na sifa wakapewa uwaziri tena? Je una taarifa zozote juu yake (mteule) ili kurahisisha kumwondoa kwa kuelezea wizi/ubadhirifu kupitia vyombo vya habari katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Nilipopata kujua nini maana ya kuwa katibu mkuu wa Chama, ndipo nilipopata kuwaza haya ninayoyawaza.,kwa kauli ya waziri wa fedha Ndugu Mkulo, iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wiki...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Kwa kweli nahisi taaluma ya sheria imeingia ruba kwani kufuatia maamuzi ya Jaji wa Kesi iliyokuwa ikimkabili Mh. Lema sasa hivi watu wamegundua kumbe ni rahisi tu kubashiri nani atashinda kesi au...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa kwa umma juu ya uamuzi wa Raisi kutengua baraza lake la mawaziri ilitolewa na Nape Nnauye. Binafsi sielewi, yeye ana wadhifa gani serikalini? Viongozi wengine au idara ya mawasiliano ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tangu Sabodo alipoanza kumwaga fedha CHADEMA kumekuwepo na makundi mawili yanayopingana wale wanaosema msaada huo unaonyesha kwamba Sabodo ni mzalendo na wale ambao wanasema Sabodo anajiandalia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Peter Saramba, Arusha MAKAO Makuu ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), unatarajia kutuma kamati maalumu kuchunguza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro unaofukuta ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kuonyesha JK amedhamiria tusome habari hii! Boniface Meena Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa SAKATA la ufisadi ulioanikwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wazi kwamba Serikali hii ya Awamu ya Nne imekua na kesi nyingi za kupinga matokeo ya Ubunge kuliko serikali ya awamu yeyote ile katika Historia ya nchi yetu. Kwa vile hapa jamvini kuna makada...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
nimeonana na jamaa mmoja mtwara hapa. sehemu moja inaitwa villa park. Nikiwa katika harakati za kumhudumia bosi tumbo deni la dunia..... The guy is an oil engineer expatriate from Congo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa takribani wiki sasa watanzania maofisini,vijiweni na hata mabarabarani kwenye vyombo vya usafiri wamekuWa wakimsifu na kumshukuru Mh. Rais kwa usikivu wake juu ya vilio vya wabunge na wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ya leo kali zaidi, Mashikh pamoja na watu wengine wanaojiona kuwa wana mapenzi mema na Zanzibar wamekaa na kutoa matamko kuwa ni haki yao kudiscuss muungano na kutoa muundo wanaoutaka na hata...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu mpaka leo, pamoja na kuwa wajumbe wa tume ya katiba wameshaapishwa bado hawajapewa mkataba(barua) itakayowapa ujasiri wa kuacha ajira zao ili waanze kazi hiyo mpya waliyopewa na JK...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF..,leo hii kwenye mada yangu napenda kugusia wabunge wa CHADEMA ambao wamekuwa Nguzo mhimili wa Chama pamoja kama sehemu ya serikali (Bunge) Niwapongeze sana kwa kuweza kuhimili...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…