Nape ana wadhifa gani SERIKALINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ana wadhifa gani SERIKALINI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malova, Apr 30, 2012.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Taarifa kwa umma juu ya uamuzi wa Raisi kutengua baraza lake la mawaziri ilitolewa na Nape Nnauye. Binafsi sielewi, yeye ana wadhifa gani serikalini? Viongozi wengine au idara ya mawasiliano ya Ikulu ilikuwa wapi mpaka yeye atoe taarifa ya Serikali kwa umma kupitia vyombo vya Habari? Lakini pia uamuzi wa kutengua baraza unafanywa kupitia kamati kuu ya CCM, yenyewe kama nani Serikalini? Mwenye kujua anieleweshe.
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Senior State Vuvuzela
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kiongozi legelege huamua mambo yake kilegelege na wasaidizi wake kawaida huwa legelege.
   
 4. M

  MULANGILA Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mkuu wa wilaya ya Masasi
   
 5. T

  Trackit Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ewe mwenyezimungu zidi kuwasambaratisha hawa wanaotutawala bila hiyari yetu,okoa taifa lako kwani linaangamia na uongozi wa mafisadi
   
 6. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kutengeneza vitisho ili watakao teuliwa waendelee kukichangia chama kwa rasilimali za umma,,,kuonyesha jeuri ya chama kwa viongozi,,wengi walishaanza kuwapuuza,kutowapa mafuta ,kuwakirimu,kuwachangia,,,,huon,hapo kuna wengine watamuomba awapigie debe,,,,ccm bwana,,,,,:rockon:
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nape ni MCHUMIA TUMBO.hawa watoto wa vigogo wataipeleka nchi pabaya ila dawa yao ipo jikoni
   
 8. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii,kula like
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaa!!!!!
  Kamata zawadi hii

  cid:5D0FDCEA-7E72-4A4F-8288-CBDE15204E9D/kp1.jpg
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yule kama magazeti basi ni Risasi au KIU au IJUMAA
   
 11. M

  Malolella JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kimsingi taarifa za kulisuka balaza la mawaziri hazikupaswa kutolewa na nape kupitia waandishi wa habari kwa umma. Nape kama kiongozi ndani ya chamachake walipaswa kuchagua watu wanaowataka na kupeleka taarifa hiyo kwa kurugenzi ya ikulu ili kutoa taarifa kwa umma. Tunatambua kuwa mawaziri na manaibu wanatoka ndani ya CCM. Kurugenzi ya ikulu haiwezi kutoa taarifa ya mabadiliko toka baraka ndani ya chama. Ninachokiona ni Nape kukurupuka kwa kutaka kujipa na kukipa umaarufu ccm kuwa ndio wamefanya maamuzi hayo. Nape alipaswa kupeleka taarifa kurugenzi ya ikulu na hao ndio wangetoa taarifa kwa umma.
   
 12. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Labda useme ni mkuu wa wilaya mstaafu! na pia ni msemaji wa chama tawala. Lakini bado hastaili kutoa taarifa za serikali. Ule umbea wa mabadiliko ya mawaziri aliotupa, ilikuwa ni taarifa ya Kamati kuu ya CCM - CC. Tusubiri ofisi ya rais nayo inaweza ikawa na chochote.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  MULANGILA kitu kama hujui ni bora ukauliza, Nape hana cheo chochote Serikalini na wala si mkuu wa wilaya ya Masasi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hawaelewi mipaka ya chama au ya serikali . na hii inatokana na kutokuwa na maadili ya uongoz na pia mgawanyo wa madaraka
   
 15. F

  Fukuyama Senior Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nahisi ni MC wa CC ya CCM si unakumbuka kile kikao kingine cha CC kilichoweka mikakati ya kuvua magamba huyu huyu Nape akataja majina matatu lakini akaja akakana na kusema ' waandishi wa habari walimnukuu vibaya' akasahau kuwa tuliidaka hiyo na kuiongeza kwenye CV yake kwamba inawezekana sana ni Incompetent au hasimamii anayo yaamini. Hvyo tusimruhusu atake mind zetu kwa hili la mawziri, hakawii kujeuka kuwa hajasema...

  Never allow a person to tell you "no" who doesn't have the power to say "yes."
   
 16. K

  KILAMHAMA Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh hii nchi inaongozwa na matakwa ya mtu nawala si kwa taratibu na kanuni za utawala
   
 17. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni dalili ya ukosefu wa uongozi bora na imara ndani ya serikali.
  Kwa maana hiyo basi inabidi tu chama ndicho kishike atamu za uongozi.
   
 18. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa kama chama kinafanya vikao vyake state house ndo watashindwa kiongozi wa chama kutoa habari ya serikali?,na ninavyohisi ni nape huyuhuyu atakayetutangazia baraza jipya la mawaziri
   
 19. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  alitoka siku nyingi tangu alipoteuliwa kuwa mpiga filimbi wa magamba, hana wadhifa wowote serikalini
   
 20. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Duh jamaa bado ni DC? Anyway DC sio msemaji wa Ikulu au Serikali ktk ngazi ya Taifa.
   
Loading...