CHADEMA kuweni makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuweni makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tutaweza, May 2, 2012.

 1. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Isije ikawa ushindi wa majimbo mawili (Sumbawanga na Singida) mmepewa ili mkianza kulalamika muambiwe mbona na kule mmeshinda!?
  Wenzenu wakawa wanashinda kwenye majimbo wanayotaka wabunge wake wasionekane kule mjengoni kutokana na kuisumbua serikali!
  Tusubirini hukumu ya mnyika!

  Unaweza kuchangia na wewe unahisi ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.

  HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, SIO TETESI.
   
 2. k

  kajugu Senior Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wasionekane kule mjengoni kutokana na kuisumbua serikali!
  Tusubirini hukumu ya mnyika!

  Unaweza kuchangia na wewe unahisi ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.
  sheria na ushabiki mbali mbali
  HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, SIO TETESI.[/QUOTE]
   
 3. k

  kajugu Senior Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sheria na ushabiki mbali mbali
   
 4. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio mchezo uliopo huo
   
Loading...