Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ASEMA ALIFURAHIA MJADALA MKALI BUNGENI, AJIPANGA KUTEKEKELEZA MAPENDEKEZO................WAKATI akitarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika safu yake ya Baraza la Mawaziri muda wowote kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Leo inangojewa kwa hamu kwa CCM na CDM kwani mpaka sasa ktk kesi za kupinga ubunge CCM ineshinda mechi za Arusha (Lema) pekee na wamepigwa chini Sumbawanga, Bihalamuro na Singida na leo inaelekea...
34 Reactions
535 Replies
52K Views
Huyu jamaa inasemekana alikuwa kichwa mbaya shuleni enzi zile, form four alipata A masomo aliyotahiniwa. Form six, A tupu. Mara zote hizo akiibuka Tanzania One. Amepewa wizara akafanya kama...
8 Reactions
95 Replies
12K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo, jana alikabidhi kadi kwa wanachama wapya 56 kutoka Chuo cha Mtakatifu John, akiwamo Mhadhiri wa chuo hicho, Martine Tetti. Dk Mkumbo alisema...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Mwaka huu nilipata kumfundisha mwanahabari kijana namna ya kufungua blogu. Nikamwelekeza kwa kutumia mfano, namna ya kuweka picha kwenye blogu yake mpya niliyomsaidia kujifunza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hemwa hemwa za kukihama chama cha mapinduzi zinaendelea ambapo safari hii wananchi katika jimbo la Simanjiro wanatarajia kutangaza nia yao ya kukihama chama hicho jumatano hii.
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Nimekuwa nasikitishwa na uongozi wa serikali ya awamu ya nne ya Tanzania kwa jinsi inavyoshughulikia mambo ya msingi kabisa yanayohusu masilahi ya watanzania kwa ujumla. Utendaji wake hauna...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Kwa kadri taarifa zinavoendelea kujitokeza, inaelekea CCM na watawala, ama wanajihusisha au wanawalinda wanaojihusisha, aMA ndiyo wanaoendesha mauaji na umwagaji damu wa kisiasa, unaoendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni Mtazania na naipenda sana nchi yangu. Nasikitishwa sana na utendaji mbaya wa viongozi na watawala wa nchi hii. Leo nitazungumzia nafasi ya Rais na Watendaji wake katika ngazi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi JF, Baada ya Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utoh na zili za Kamati za Kudumu za Bunge kwa wizara zilizofanya ubadhirifu wa mali za umma, na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
JAMANI HILI LIMEKUA LIKINIKERA muda sasa...sioni ulazima wa almost vyombo vyote vya habari kurusha matangazo ya taarifa za habari saa mbili usiku, utakuta ITV, TBC, STAR TV, na nyinginezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kile kinachooneka kama upepo kugeuka ni kitendo cha Leo Kikwete alivyopokelewa katika Uwanja wa Ndege Tanga,Ambako amekwenda kwa ajili ya Mei Mossi!Huwanja ukiwaumetawaliwa na wanachama wa...
1 Reactions
108 Replies
11K Views
Hali ya sasa ya kukubalika kwa kasi kwa CDM inatoa tafsiri nyingi kuhusu mustakabali wa baadaye. Wingi wa Wanachama ni ishara ya kujitokeza kwao kushiriki katika kugombea nafasi mbalimbali...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa wito kwa wanafunzi kutoka vyuo vikuu kugombea nafasi za uongozi serikalini, kuanzia ngazi za vijiji ili kufikisha elimu ya mabadiliko kifikra...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanabodi, Nimeamua kuja kujibu kama ambavyo mngependa nifanye. Siyo kwamba nimekimbia JF, la hasha. Siwezi kukimbia na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ni kwamba gadget yangu...
28 Reactions
651 Replies
49K Views
Sabodo aishukia serikali Naye kada maarufu wa CCM na mfanyabiashara maarufu nchini Mustapha Sabodo, aliyealikwa katika mkutano huo, aliishukia serikali ya CCM akidai kuwa viongozi wake hawana...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi hebu tutafakari vizuri, Je kwa ubadhilifu huu kuvunja baraza ni njia sahihi iliyotakiwa kufanywa na mtu aliyechukizwa na wabadhilifu? . No, binafsi naona kufanya hivi ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuwa: Ukodishaji ardhi kwa wawekezaji ni chini ya 250/ kwa heka moja? hivi hii ni sheria, kanuni au nini? kuwa JK amefanya safari 325 za nje na angalau akiwa amekaa siku 4 kwa wastani sawa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom